
#AchievingGreatnessTheAlbum
@onetheincredibl
🇹🇿 Hip hop Recording & Performing Artist | Actor | Songwriter | Record Producer | @CLTRMVMNT™ Founder | #KITU OUT NOW!!! Link Below
ID: 109780594
https://audiomack.com/onetheincredible/song/kitu?share-user-id=31755976 30-01-2010 06:51:29
17,17K Tweet
53,53K Followers
1,1K Following

chizzo drama Hii hapa ya #AchievingGreatnessTheAlbum Mi ndo mwana wa Mama aliyenifunza Kwamba, hakuna maisha bora kwa kijana asiyejitunza Hakuna maisha bora kwa kijana asiyejifunza, Kujifunza hakuna maana kwa kijana usiyejituma 🚀😤




Usishangae ufisadi bwanamdogo haki hailipi Soga za Mzawa #AchievingGreatnessTheAlbum


Kuwa na imani ili amani ipate nafasi mchunge mwana wa jirani asidanganywe na fataki #Hisia #AchievingGreatnessTheAlbum







"Ma MC wamefua wamechoka/ Wanajua, nikitua niko sure, niko pure niko proper/ Najua ninakotoka/ Na kichwa kimejaa credit, so ninapochora nasugua kama vocha/" #AchievingGreatnessTheAlbum

