Mathayo Agstine Lwoga (@officialmathayo) 's Twitter Profile
Mathayo Agstine Lwoga

@officialmathayo

official Twitter Account of
Mathayo Agstine Lwoga
CEO at @sokaplace_
0715255182
0753201831

ID: 1313877900765134849

calendar_today07-10-2020 16:24:51

137 Tweet

38 Takipçi

36 Takip Edilen

Mathayo Agstine Lwoga (@officialmathayo) 's Twitter Profile Photo

Heko Dodoma Jiji Kwa Jezi Nzuri Hakika Klabu zetu zimeelewa Somo la biashara ya Jezi Sijui Msimu huu ntaanza kununua jezi ipi niwe nazo Ihefu Mambo Moto Prisons Mambo Moto Dodoma Jiji nao usipime

Hawa wakongo wanaakili sana ya kutafuta pesa Ligi Yetu wamejaaa kama Njugu wanakipiga katika klabu tofauti Vijana wetu wajifunze kwa hawa jamaa kwenda nchi tofauti kutafuta maisha.

Nado Haimbwi Sana ila huyu ndio Iddy Nado #Ligikuu FT Azam FC 2-1 Singida BS Sidibe ⚽️ Nado ⚽ Tchakei ⚽ #sokaplaceupdates #sokaplacetv BetikaKasino

Nado Haimbwi Sana ila huyu ndio Iddy Nado

#Ligikuu

FT Azam FC 2-1 Singida BS
Sidibe ⚽️
Nado ⚽
Tchakei ⚽

#sokaplaceupdates 
#sokaplacetv <a href="/betikakasino/">BetikaKasino</a>
Mathayo Agstine Lwoga (@officialmathayo) 's Twitter Profile Photo

Kocha Robertinho leo anianzie na Kennedy Juma Kule Nyuma tuenjoy Football Golini abaki Mwanetu Ally Salim au mnasemaje jamaa zangu wapenda kandanda

Mashabiki wa Yanga bado wanatamani kupata huduma ya Kiungo Fundi Mtanzania Fei Toto haya yote yameonekana jana Kijana akigusa tu Mpira majukwaani Kelele nyingi za kumzomea

Licha ya Kuruhusu Magoli Simba ya Kocha Robertinho haijafungwa Mchezo hata mmoja katika mashindano yote msimu huu Mchezo Ujao anakutana na Yanga Sc iliyofungwa na Ihefu Kazi ipo Nani atalala ?

Licha ya Kuruhusu Magoli Simba ya Kocha Robertinho haijafungwa Mchezo hata mmoja  katika mashindano yote msimu huu 

Mchezo Ujao anakutana na Yanga Sc  iliyofungwa na Ihefu
Kazi ipo Nani atalala ?
Mathayo Agstine Lwoga (@officialmathayo) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa Simba Acheni kuwapangia vikosi Makocha Wenu Robertinho ameondoka ila na Nyinyi mjitafakari zile tano zimesababisha na Viongozi kuingilia Benchi la Ufundi .

Kama Kocha Robertinho anasema Simba imesajili wachezaji wawili tu basi huyu mwamba hafai amewaingizi chaka wanasimba anapaswa kubeba lawama .

Benchi la Ufundi la klabu ya Simba Limeshiba Haswa ☑️Kocha mkuu Abdelhak Benchikha ☑️Kocha msaidizi Farid Zemiti ☑️Kocha wa viungo Kamal Boudjenane Betika Tanzania

Benchi la Ufundi la klabu ya Simba Limeshiba Haswa 
☑️Kocha mkuu Abdelhak Benchikha
☑️Kocha msaidizi Farid Zemiti
☑️Kocha wa viungo Kamal Boudjenane
<a href="/BetikaTz/">Betika Tanzania</a>
Mathayo Agstine Lwoga (@officialmathayo) 's Twitter Profile Photo

Kocha Abdelhak Benchikha ni Kocha wa Viwango Haswa Kama ataachiwa Uhuru kuanzia kwenye usajili na Mambo yote ya ufundi tutegemee kuona Makubwa sana pale Lunyasi.

Joseph Mbilinyi (@therealjongwe) 's Twitter Profile Photo

Tukiwaambia CCM wana dharau muelewe, tuko kwenye ISSUE very serious halafu wao wanamleta huyu kubwabwaja… Huyu muuaji, huyu mtekaji, huyu mwizi anayemiliki mali zisizoendana na kipato chake kama RC, huyu alimteka Roma, huyu anatakiwa atuambie Ben Saanane walimfukia wapi nk..

Tukiwaambia CCM wana dharau muelewe, tuko kwenye ISSUE very serious halafu wao wanamleta huyu kubwabwaja… Huyu muuaji, huyu mtekaji, huyu mwizi anayemiliki mali zisizoendana na kipato chake kama RC, huyu alimteka Roma, huyu anatakiwa atuambie Ben Saanane walimfukia wapi nk..
Mathayo Agstine Lwoga (@officialmathayo) 's Twitter Profile Photo

Kuna Kitu Uganda wanatuzidi sana Kwenye Timu Yao ya Taifa Hawana Pangua pangua ya Kikosi kama Sisi na Timu Yetu ya Taifa hatuelewi Nini tunataka Hasa Sisi Mashabiki wa Soka tunawapa wakati Mgumu Sana watawala wa Kandanda Hapa Nchini kwakua Kila mtu ni Kocha na Mchambuzi