KAMA UNAPO SALI HUONI HAYA MAMBO MA3, tafakari vizur,.
INJILI YA KWELI IMEJENGWA KWENYE MISINGI MI3
1.IMANI
2.TUMAINI
3.UPENDO
13 Basi, sasa inadumu imani, tumaini, upendo, haya matatu; na katika hayo lililo kuu ni upendo.
1 Wakorintho 13:13
Shalom...
MAOMBI KWA WAHANGA WA KARIAKOO..
Baba wa mbinguni, tunakushukuru kwa Neema ya Pumzi unayoendelea kutupatia sisi ambao hatukustahili..
Pumzi hii ni sababu ya kuendelea kuliitia jina lako Kwaajili ya Ndugu zetu walioko Ndani ya Vifusi hata sasa..
In Jesus name I pray, Amen🙏
118.Ni Ujumbe Wa Bwana
Ni ujumbe wa Bwana, Aleluya!
wa maisha ya daima,
Amenena mwenyewe, Aleluya!
Utaishi ukitazama.
Tazama, ishi sasa!
Kumtazama Yesu,
Amenena mwenyewe, Aleluya!
Utaishi ukitazama.
NO ACCOUNT SHOULD HAVE LESS THAN 100k FOLLOWERS 👀
DROP AN EMOJI DOWN BELOW AND FOLLOW EVERYONE WHO LIKES IT ✅
RETWEET SO IT FORMS A CHAIN OF REACTION ❤️♻️