جمعة يحيى محمد (@officialjouma) 's Twitter Profile
جمعة يحيى محمد

@officialjouma

Mwalimu wa Lugha ya Kiarabu | Content Creator أستاذ اللغة العربية | صانع المحتوى

ID: 3064838896

linkhttps://t.me/TafsiriYaQuran calendar_today28-02-2015 13:06:05

21,21K Tweet

5,5K Takipçi

568 Takip Edilen

جمعة يحيى محمد (@officialjouma) 's Twitter Profile Photo

HISTORIA YA IBADA YA HIJJAH NA CHIMBUKO LAKE. ▫️ Hijjah maana yake kilugha ni: Kukusudia. Na kisheria maana yake ni: Kukusudia kwenda Baytul Haraam (Nyumba tukufu ya Allah iliyopo Makkah), kwa ajili ya kutekeleza ibada maalum kwenye kipindi maalum. ▫️ Nabii Ibrahim na mwanae

HISTORIA YA IBADA YA HIJJAH NA CHIMBUKO LAKE.

▫️ Hijjah maana yake kilugha ni: Kukusudia. Na kisheria maana yake ni: Kukusudia kwenda Baytul Haraam (Nyumba tukufu ya Allah iliyopo Makkah), kwa ajili ya kutekeleza ibada maalum kwenye kipindi maalum.

▫️ Nabii Ibrahim na mwanae
جمعة يحيى محمد (@officialjouma) 's Twitter Profile Photo

KISA CHA NABII IBRAHIM, ISMAIL NA BI. HAAJAR (amani iwe juu yao). ▫️ Nabii Ibrahim (amani iwe juu yake) kuna siku alifuatana na mkewe Bi. Sarah, alikwenda kutembelea nchi ya Misri, na huko alipokelewa na mfalme wa Misri aliyewaweka ndani ya Qasri yake, na usiku ulipoingia mfalme

KISA CHA NABII IBRAHIM, ISMAIL NA BI. HAAJAR (amani iwe juu yao).

▫️ Nabii Ibrahim (amani iwe juu yake) kuna siku alifuatana na mkewe Bi. Sarah, alikwenda kutembelea nchi ya Misri, na huko alipokelewa na mfalme wa Misri aliyewaweka ndani ya Qasri yake, na usiku ulipoingia mfalme
جمعة يحيى محمد (@officialjouma) 's Twitter Profile Photo

من أشد ابتلاءات الدنيا فقد الأنس، فتبقى مستوحشاً. وكأن الكون على وسعه لا يسعك Miongoni mwa majaribu magumu zaidi ya dunia ni kumkosa mtu wa kukupa faraja na kukuliwaza. Unabaki tu mpweke. Licha ya kuwa dunia ni pana, lakini kwako utahisi imekubana.

جمعة يحيى محمد (@officialjouma) 's Twitter Profile Photo

أنواع الأخطاء اللغوية ١. خطأ إملائي، وسببه الجهل بقواعد الإملاء، مثل: أنا متفاؤل، والصواب: أنا متفائل. ٢. خطأ نحوي، وسببه الجهل بقواعد النحو، مثل: رأيتُ أخوك، والصواب: رأيتُ أخاك. ٣. خطأ صرفي، وسببه الجهل بقواعد الصرف، مثل: عندي مَشَاكيل، والصواب: عندي مُشْكِلات. ٤. خطأ دلالي،

جمعة يحيى محمد (@officialjouma) 's Twitter Profile Photo

الكنيسة: المكان الذي يؤدي فيه المسيحيون شعائرهم. Miongoni mwa maneno ya Kiswahili ambayo yametoholewa kwenye Lugha ya Kiarabu ni neno "Kanisa". ✍️ Kanisa ni sehemu ambayo Wakristo wanatekeleza ibada zao.

الكنيسة: المكان الذي يؤدي فيه المسيحيون شعائرهم.

Miongoni mwa maneno ya Kiswahili ambayo yametoholewa kwenye Lugha ya Kiarabu ni neno "Kanisa".
✍️ Kanisa ni sehemu ambayo Wakristo wanatekeleza ibada zao.
جمعة يحيى محمد (@officialjouma) 's Twitter Profile Photo

من اللؤم أن يبصق المرء في البئر الذي شرب منه Ni vibaya mtu kutema mate kwenye kisima ambacho alikunywa maji.

جمعة يحيى محمد (@officialjouma) 's Twitter Profile Photo

عندما نُجرَح بعمق لن نتعافى أبداً إلى أن نسامح Pindi tunapoumizwa sana, kamwe hatutoweza kupona mpaka pale tutapoamua kusamehe.

جمعة يحيى محمد (@officialjouma) 's Twitter Profile Photo

أجد السلام بجانبك فقط، ولا يكفي الحبر لأخبرك عن سعادتي عندما تكون معي، لا أحد يستطيع أن يخفف آلامي عندما تكون بعيدًا #غرام Napata amani napokuwa karibu yako tu, wala wino hautoshi kukuelezea furaha yangu napokuwa na wewe. Hakuna yeyote anayeweza kutuliza maumivu yangu pindi