Eng Octavian Lasway (@octavianlasway) 's Twitter Profile
Eng Octavian Lasway

@octavianlasway

Irrigation & Hydrology |Drip irrigation|Green house, Soil, plant & Water|AutoCAD&GIS|Water activist|Spices Trader| CEO: HGAGL @greenagrictz

ID: 939815359

linkhttp://www.greenagriculturetz.com calendar_today10-11-2012 19:56:21

52,52K Tweet

13,13K Takipçi

3,3K Takip Edilen

Eng Octavian Lasway (@octavianlasway) 's Twitter Profile Photo

Hii concept na Hoja ya Kulinda kura ni hoja dhaifu sana ! Kwa sababu ni kinyume cha sheria 1. Kanuni za uchaguzi zinamtaka mpiga kura akishamaliza kupiga kura kuondoka kituoni , au akae umbali wa 100m kutoka kituoni 2. Ukisema ulinde kura ni dhahiri unasema kuwa Kuna wizi wa

NYANI MZEE (@jwise017) 's Twitter Profile Photo

Ukizaliwa MWANAUME ni kutaabika siku zote za maisha yako. Hakuna siku utasema nimemaliza mambo yangu nipumzike. Matatizo ni bandika bandua linatoka hili linakuja lile. Muhimu ni kutopoteza focus na kufanya ya muhimu zaidi na kupuuza yasiyo na faida kwetu. Tutapumzika kaburini.

Eng Octavian Lasway (@octavianlasway) 's Twitter Profile Photo

Katika msafara wa wakubwa Kuna wale askari wa pikipiki huwa wanataka "sweepers" Yani wanasafisha njia ili Mkubwa akute Barabara ni nyeupe ! Sijui nilitaka niseme nini ila ndio hivyo yani

Kenny Mmari Snr. (@kennedymmari) 's Twitter Profile Photo

Natumaini siku moja tutafikia hatua ya kuwa na barabara zisizokuwa matuta kama mataifa yaliyoendelea. Lakini hili ni suala la ustaarabu wa kijamii, na uelewa wa juu wa kisheria watumiaji wote wa barabara.

MUSIIGE DENIS (@denismusiige) 's Twitter Profile Photo

Eng Octavian Lasway Learning from your own is costly and time wasting. The damages might be irreparable. Though you could gain more experience than one who learnt from other peoples mistakes since they didn't get to experience it first hand.

WhiteFrank Frank (@whitefrankfrank) 's Twitter Profile Photo

Eng Octavian Lasway Trading is easy to manage Manufacturing needs complex system thinking Trading is not "Capital Intensive" It's easy to bootstrap for trading (hasa kwa Mtanzania) Manufacturing needs outsourcing and there is where the hell begins I like manufacturing KWA MOYO WOTE

Patrick Nkandi (@pnkandi) 's Twitter Profile Photo

Eng Octavian Lasway Trading dilutes risk...unaiona hela kama si kwenye stock inakuwa bank...uwekezaji si mkubwa kwenye trading. Na complexity yakusimamia trading si sawa na manufacturing...Manufacturing tuna complexity departments zakusimamia...ukianza na Production & Quality Control etc