Nguvu iliyotumika jana Mbinga, ilitakiwa itumike kwa wale wanaotajwa kila mwaka kwenye report ya CAG dhidi ya ufisadi!!
Anayewapambania mpate katiba mpya itakayowapa maisha bora ninyi, watoto na wajukuu zenu mnamtawanya kwa mabomu.
Anayewaibia na kuwapa umasikini mnampigia