Islam Nyonga Official 💥 (@nyonga0907) 's Twitter Profile
Islam Nyonga Official 💥

@nyonga0907

God Bless me Islam Nyonga Official
Mbezi beach Icon
Call me WhatsApp 255679014320

ID: 1699824568343347291

calendar_today07-09-2023 16:39:17

17,17K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

Zizzou 27🏁 (@zizzousule) 's Twitter Profile Photo

Mr Blue Byser alienda kwenye show mbeya miaka ya 2010 akiwa backstage Unju akasogea mbele ya Byser na Nyandu. Akamuambia “bro mimi nachana” biti zikawekwa Unju akapasuka mno, Byser akauliza kwa mshangao “We unachana hivi na upo Mbeya?” akamuambia brother mimi nipo chuo tu!

Babu Bomba (@babubomba4) 's Twitter Profile Photo

Fid q anakwambia kati ya Pmawenge na Dizasta vina amchague mmoja kati yao yeye anakwambia Anamchangua Pmawenge anapenda deliver yake . Kuhusu kuandika kila mtu anaweza kuandika apo akamzungumzia Dvina. Kwa ambao mnaonaga mwana anaandika sana kumbe kila mtu anaweza kufanya ivyo.

Babu Bomba (@babubomba4) 's Twitter Profile Photo

Fid akaambiwa amchague One au Unju Akamchagua One, akaambiwa tena Stereo au One akamchagua One kwa mara nyingine tena. Sio kwamba hao wengine sio wakali ila segment inaitwa Mida ya lawama na kweli kwenye uchaguzi wako lawama lazima ziwepo. Maoni ya mtu yaeshimiwe. Unju akamaind

wakuja (@be_franksr) 's Twitter Profile Photo

Nilifungwa kwenye chumba chenye giza chini nisihame Nikachapwa mijeledi thelathini na minane Nikapambana nikatoroka na mtumbwi kwenda kando Usalama wangu ulianza hapo

Nilifungwa kwenye chumba chenye giza chini nisihame
Nikachapwa mijeledi thelathini na minane
Nikapambana nikatoroka na mtumbwi kwenda kando
Usalama wangu ulianza hapo