zee la standard๐ŸŽ™ (@nyasajrm) 's Twitter Profile
zee la standard๐ŸŽ™

@nyasajrm

automotive, simba,madrid&Chelsea fanc
Memes funy jokes
I want to be someone (๐Ÿ’ฐ)๐Ÿƒ cfikiriii kua serious

ID: 1518160146609885184

calendar_today24-04-2022 09:30:53

129,129K Tweet

1,1K Takipรงi

1,1K Takip Edilen

MwanaHabari (@mwanahabarinews) 's Twitter Profile Photo

Mdau wetu anatuambia Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe atakapoamua kuongea ndipo mpasuko utakapo tokea na mengi ya siri kufichuka. Je unakubaliana na mdau wetu!!?

Mdau wetu anatuambia Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe atakapoamua kuongea ndipo mpasuko utakapo tokea na mengi ya siri kufichuka.

Je unakubaliana na mdau wetu!!?
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Tuwe imara, Chama chetu ndio tumaini pekee la Watanzania, tunaungwa mkono na wananchi. Ukiwa na umma hakuna kinachoshindikana. Tutashinda. #NoRefomsNoElection

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

๐ŸšจBREAKING๐Ÿšจ Familia ya aliyekuwa Rais wa Sita wa Zambia, Dkt. Edgar Lungu imetangaza kuwa mazishi yake yatafanyika nchini Afrika ya Kusini kwa ibada ya faragha. Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Familia hiyo Mheshimiwa Makebi Zulu leo Juni 20 imeeleza kuwa nchi ya Afrika ya

๐ŸšจBREAKING๐Ÿšจ

Familia ya aliyekuwa Rais wa Sita wa Zambia, Dkt. Edgar Lungu imetangaza kuwa mazishi yake yatafanyika nchini Afrika ya Kusini kwa ibada ya faragha.

Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Familia hiyo Mheshimiwa Makebi Zulu leo Juni 20 imeeleza kuwa nchi ya Afrika ya
Brenda Rupia Jonas (@brendarupia) 's Twitter Profile Photo

Kwa niaba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wito wenu wa Sala na Mfungo kwa ajili ya kuombea Haki na Amani nchini mwetu, hasa katika kipindi hiki ambacho chama chetu kinapigwa vita na vyombo vya dola. Tunautambua na

Kwa niaba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wito wenu wa Sala na Mfungo kwa ajili ya kuombea Haki na Amani nchini mwetu, hasa katika kipindi hiki  ambacho chama chetu kinapigwa vita na vyombo vya dola.

Tunautambua na
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ (@davitheempire) 's Twitter Profile Photo

Jane Ritha alichokifanya ndio siasa za UPINZANI haiwezekani UITWE mpinzani halafu uwe unaongea kile ambacho CCM wanataka kusikia huo unakua ni MRADI mwacheni Madame Jane akiwa Hai

Jane Ritha  alichokifanya ndio siasa za UPINZANI haiwezekani UITWE mpinzani halafu uwe unaongea kile ambacho CCM wanataka kusikia huo unakua ni MRADI mwacheni Madame Jane akiwa Hai
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Picha nilipiga June 22, 2016 na Leo June 20, 2025 Baba yangu mkubwa Mzee Bandaraus Matarra ametangulia mbele za haki. Msiba upo nyumbani kijiji cha #Machochwe (Serengeti). Ningekuwa siumwi na kusubilia operation, ningeenda kumzika mzee wangu lkn sitaweza. Innalillah W. Rajiun๐Ÿ™๐Ÿ˜ข

Picha nilipiga June 22, 2016 na
Leo June 20, 2025 Baba yangu mkubwa Mzee Bandaraus Matarra ametangulia mbele za haki. Msiba upo nyumbani kijiji cha #Machochwe (Serengeti). Ningekuwa siumwi na kusubilia operation, ningeenda kumzika mzee wangu lkn sitaweza. Innalillah W. Rajiun๐Ÿ™๐Ÿ˜ข
Patrick Ole Sosopi (@patricolesosopi) 's Twitter Profile Photo

Ameandika MalisaGJ Hali hii ni mbaya sana kwa kweli hakuna mtanzania ataendelea kuwa salama kwa kukosoa. Nasikia naye Mkt wa Wanawake ACTWazalendo Amekamatwa kwa ukosoaji. Tunakwenda Wapi Kama Taifa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Ameandika <a href="/MalisaGJ_/">MalisaGJ</a> 
Hali hii ni mbaya sana kwa kweli hakuna mtanzania ataendelea kuwa salama kwa kukosoa.
Nasikia naye Mkt wa Wanawake <a href="/ACTwazalendo/">ACTWazalendo</a> Amekamatwa kwa ukosoaji.
Tunakwenda Wapi Kama Taifa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ