NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile
NuktaFakti

@nuktafakti

Nukta Fakti ilianzishwa na @NuktaAfrica kufuatilia habari za uzushi Tanzania na kutafuta ukweli ili kutokomeza uzushi. Our job is provide facts. Period!

ID: 1256274355266486274

linkhttp://www.nukta.co.tz calendar_today01-05-2020 17:28:59

564 Tweet

304 Takipçi

118 Takip Edilen

NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

Profesa Kabudi amewahasa wanahabari na watengeneza maudhui kutokuwa wazembe kwa kutegemea Akili Unde pekee katika uandishi. Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2025, Arusha Tanzania. #ThibitishaKablaYaKusambaza #PingaUzushi #VumbuaUkweli Na Nukta Fakti

NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

"Kwenye uthibitishaji wa taarifa Fact-checkers tunahitaji kupata taarifa sahii, kuna baadhi ya taarifa ambazo ni open source hizo hazina shida sana, ila changamoto ni zile zinazotoka mkononi wa watu Kwa mfano uzushi wa mtu kudaiwa kusema jambo fulani." amesema Dausen

"Fact-checking ni muhimu sana kwa waandishi wa habari, na kuongezeka Kwa habari potofu kumeongeza njia nyingi za uchambuzi wa habari hizo ili kukabiliana na uzushi, na ndo maana Nukta Africa tunatoa mafunzo ya Fact-checking ili kusaidia waandishi habari".

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wanahabari kujadili mabadiliko ya sera kwenye masuala ya Akili Mnemba (AI) #ThibitishaKablaYaKusambaza #PingaUzushi #VumbuaUkweli Na Nukta Fakti

NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

"Baadhi ya watu wanatumia vibaya vyanzo vya taarifa, kwaiyo Ili tuweze kukabiliana na hili lazima tutoe elimu na ujuzi Kwa umma na waandishi wa habari namna nzuri na njia sahihi ya kuchambua taarifa." amesema Dausen, Mkurugenzi Mkuu, Nukta Africa.

Inaonekana kama picha halisi kabisa kwenye jiji la San Francisco, lakini picha ya wanandoa wakiwa mbele ya daraja la Golden Gate imetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya akili bandia (AI). Angalia makosa kwenye muundo wa mikanda ya begi la mgongoni, na kwenye mkanda wa shingoni.

Inaonekana kama picha halisi kabisa kwenye jiji la San Francisco, lakini picha ya wanandoa wakiwa mbele ya daraja la Golden Gate imetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya akili bandia (AI).

Angalia makosa kwenye muundo wa mikanda ya begi la mgongoni, na kwenye mkanda wa shingoni.
NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

Hata hivyo, uchunguzi uliofanywa na Nukta Fakti umebaini kuwa madai hayo si ya kweli. Video hizo hazihusiani na Burkina Faso bali zinahusu miradi ya ujenzi wa makazi ya kisasa inayoendelea nchini Algeria, hasa katika miji mipya ya Boughezoul na Sidi Abdallah. #VumbuaUkweli

Hata hivyo, uchunguzi uliofanywa na Nukta Fakti umebaini kuwa madai hayo si ya kweli. Video hizo hazihusiani na Burkina Faso bali zinahusu miradi ya ujenzi wa makazi ya kisasa inayoendelea nchini Algeria, hasa katika miji mipya ya Boughezoul na Sidi Abdallah.

#VumbuaUkweli
NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

Je, unajua ni vigezo gani vinavyokuwezesha kupiga kura katika uchaguzi mkuu Tanzania? Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na miongozo ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi waliotimiza vigezo vifuatavyo wanaruhusiwa kupiga kura Kupiga kura ni haki yako ya kikatiba.

NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

Je, wajua Tanzania ina gani idadi ya Majimbo ya Uchaguzi na Kata zitakazoshiriki Uchaguzi mkuu 2025 ? Hii apa idadi ya Majimbo ya Uchaguzi na Kata zitakazoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 nchini Tanzania. #ThibitishaKablaYaKusambaza #PingaUzushi #VumbuaUkweli Na Nukta Fakti

NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

🗣️ Leo Mr. Fakti anasema: "Si kila kilichoandikwa au kusemwa kwenye mitandao ni kweli. Habari za uongo huvalishwa sura ya ukweli ili kupotosha. Kabla ya kushiriki taarifa yoyote, chukua muda kuisoma kwa makini, kuangalia chanzo chake, na kujiuliza. Je, hii ni kweli?

🗣️ Leo Mr. Fakti anasema:
"Si kila kilichoandikwa au kusemwa kwenye mitandao ni kweli. Habari za uongo huvalishwa sura ya ukweli ili kupotosha. Kabla ya kushiriki taarifa yoyote, chukua muda kuisoma kwa makini, kuangalia chanzo chake, na kujiuliza. Je, hii ni kweli?
NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

🗣️ Nukuu ya Siku: "Kabla ya taarifa kuingia moyoni mwako, ichakate kwanza akilini mwako." 📌 Usikubali kila unachosoma kikupenye hadi moyoni bila tafakari. Tumia akili yako kuchambua, kuuliza, na kuthibitisha. Katika zama za taarifa nyingi, umakini ni kinga, na ukweli ni silaha.

🗣️ Nukuu ya Siku:
 "Kabla ya taarifa kuingia moyoni mwako, ichakate kwanza akilini mwako."
📌 Usikubali kila unachosoma kikupenye hadi moyoni bila tafakari. Tumia akili yako kuchambua, kuuliza, na kuthibitisha. Katika zama za taarifa nyingi, umakini ni kinga, na ukweli ni silaha.
NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

Chukua hatua hizi kuhakiki taarifa kabla ya kuamini na kuchukua jukumu la kusambaza. #ThibitishaKablaYaKusambaza #PingaUzushi #VumbuaUkweli Na Nukta Fakti

NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

SI KWELI: CCM IMEANDIKA BARUA KUOMBA MCHANGO WA KAMPENI ZA UCHAGUZI Chama cha Mapinduzi kupitia akaunti zake rasmi za mitandao ya kijamii kimekanusha na kueleza kuwa barua hiyo ni batili na kuomba taarifa hiyo ipuuzwe. #vumbuaukweli na Nukta Fakti

SI KWELI: CCM IMEANDIKA BARUA KUOMBA MCHANGO WA KAMPENI ZA UCHAGUZI 

Chama cha Mapinduzi kupitia akaunti zake rasmi za mitandao ya kijamii kimekanusha na kueleza kuwa barua hiyo ni batili na kuomba taarifa hiyo ipuuzwe.

#vumbuaukweli na Nukta Fakti
NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

SI KWELI: MSANII CHID BENZ AMEFARIKI DUNIA Chapisho hili halipo kwenye kurasa rasmi za Wasafi Media na hakuna taarifa yeyote kuhusu kifo chake iliyoripotiwa . Hivyo chapisho hili ni batili na linapaswa kupuuzwa. #vumbuaukweli na Nukta Fakti

SI KWELI: MSANII CHID BENZ AMEFARIKI DUNIA

Chapisho hili halipo kwenye kurasa rasmi za Wasafi Media na hakuna taarifa yeyote kuhusu kifo chake iliyoripotiwa . Hivyo chapisho hili ni batili na linapaswa kupuuzwa.

#vumbuaukweli na Nukta Fakti
NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA ZINAZOTUMWA KWENYE AKAUNTI YA X YA JESHI LA POLISI SI ZA KWELI Jeshi la Polisi limekanusha taarifa hizo na kuanisha kuwa taarifa hizo zimetengenezwa ili kupotosha umma. Jeshi la Polisi limeomba wananchi kupuuzia na kuacha kusambaza taarifa hizo. #Vumbuaukweli

TAARIFA ZINAZOTUMWA KWENYE AKAUNTI YA X YA JESHI LA POLISI SI ZA KWELI

Jeshi la Polisi limekanusha taarifa hizo na kuanisha kuwa taarifa hizo zimetengenezwa ili kupotosha umma. Jeshi la Polisi limeomba wananchi kupuuzia na kuacha kusambaza taarifa hizo.

#Vumbuaukweli
NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

SI KWELI: MECHI YA FAINALI YA SIMBA IMERUDISHWA UWANJA WA MKAPA CAF imekanusha taarifa hii. Aidha pia klabu ya Simba imetangaza kuendelea na fainali za mashindano ya kombe la Shirikisho katika uwanja wa Amani Complex, Zanzibar #vumbuaukweli na Nukta Fakti

SI KWELI: MECHI YA FAINALI YA SIMBA IMERUDISHWA UWANJA WA MKAPA

CAF imekanusha taarifa hii. Aidha pia klabu ya Simba imetangaza kuendelea na fainali za mashindano ya kombe la Shirikisho katika uwanja wa Amani Complex, Zanzibar

#vumbuaukweli na Nukta Fakti
NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

SI KWELI: CHAUMA YAMTEUA MBOWE KUWA MGOMBEA WA URAIS 2025 Taarifa inayosambaa ni batili na halijachapishwa na Chama cha Chauma. Haipo kwenye kurasa rasmi za viongozi wa chama hicho na aina ya mwandiko uliotumika sio mwandiko unaotumika kwenye machapisho yao halisi #VumbuaUkweli

SI KWELI: CHAUMA YAMTEUA MBOWE KUWA MGOMBEA WA URAIS 2025
Taarifa inayosambaa ni batili na halijachapishwa na Chama cha Chauma. Haipo kwenye kurasa rasmi za viongozi wa chama hicho na aina ya mwandiko uliotumika sio mwandiko unaotumika kwenye machapisho yao halisi

#VumbuaUkweli
NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

Leo Mr. Fakti anasema: "Si kila kilichoandikwa au kusemwa kwenye mitandao ni kweli. Habari za uongo huvalishwa sura ya ukweli ili kupotosha. Kabla ya kushiriki taarifa yoyote, chukua muda kuisoma kwa makini, kuangalia chanzo chake" #VumbuaUkweli na Nukta Fakti

Leo Mr. Fakti anasema:
"Si kila kilichoandikwa au kusemwa kwenye mitandao ni kweli. Habari za uongo huvalishwa sura ya ukweli ili kupotosha. Kabla ya kushiriki taarifa yoyote, chukua muda kuisoma kwa makini, kuangalia chanzo chake"

#VumbuaUkweli
na Nukta Fakti