Jackson Barth (@northtanzania) 's Twitter Profile
Jackson Barth

@northtanzania

ID: 1521493063608197126

calendar_today03-05-2022 14:13:34

126 Tweet

269 Takipçi

761 Takip Edilen

SUWITART🌼 (@pacque187) 's Twitter Profile Photo

The Ramadhani Brothers from Tanzania won a golden buzzer on Australia’s Got Talent. This should be trending!!!!!!!🇹🇿🫶🏾

Jackson Barth (@northtanzania) 's Twitter Profile Photo

Hapa Dar ukiweza kuongea kiingereza kilichonyooka kwa lafudhi ileile ya Uingereza au Marekani, watu watadhani unaishi Mbezi Beach au Masaki. kwa maana hii unakuwa hatua chache karibu na kung'oa pisi bila Mchele.

Jackson Barth (@northtanzania) 's Twitter Profile Photo

Kila nikisikia jina Mgunda kitu cha kwanza kunijia akilini huwa ni "Kilimo Mgunda" na sidhani kama mashabiki wa Simba SC wanakijua kilimo mgunda.

Jackson Barth (@northtanzania) 's Twitter Profile Photo

Tanroads wanadhani agizo lao la kukataza kufanya mazoezi kwenye daraja la Kijazi limeheshimiwa kumbe ni wafanya mazoezi hawana maji ya kuoga.

Tanroads wanadhani agizo lao la  kukataza kufanya mazoezi kwenye daraja la  Kijazi limeheshimiwa kumbe ni wafanya mazoezi hawana maji ya kuoga.