Shukrani kwa Wanasimba wote waliojitokeza kuipa nguvu timu yetu kwenye mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Tumerudi nyumbani, zamu ya kuionyesha Afrika ukubwa wa Simba yetu. #WenyeNchi #NguvuMoja
Ukute ni Maelekezo Kutoka Juu Iliomba Game Iende Chato, Ili Kuitangaza Chato! Sisi tulikua Tufosi Kwa Mkapa Kwa Mkapa! Hii Nchi Utapeli ni mwingi sana 😃😂
Baada ya CAF Kuuthibitisha Uwanja wa Amani Zanzibar, Sasa ni Rasmi Young Afrika Wamefuzu Hatua ya Makundi Kwenda robo fainali.
Hongereni Sana Utopolo 🔥😃
#HABARI Wizara ya Afya nchini imetangaza ongezeko la watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 nchini katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Mganga Mkuu wa serikali Dk Grace Magembe amesema kumekuwepo na ongezeko la tetesi zinazohusiana na magonjwa ya mfumo wa njia ya