Land Use Commission (@nlupctanzania) 's Twitter Profile
Land Use Commission

@nlupctanzania

The NLUPC role is to provide procedures for preparation, administration and enforcement of land use plans in the country.

ID: 876571964202201088

calendar_today18-06-2017 22:46:56

128 Tweet

264 Followers

656 Following

Land Use Commission (@nlupctanzania) 's Twitter Profile Photo

Uandaaji wa Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji vinavyopitiwa na mkuza wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki (EACOP) Wilayani Muheza #nlupc #landuseplanning @ Muheza, Tanga, Tanzania instagram.com/p/CQHG2xCnf1I/…

Land Use Commission (@nlupctanzania) 's Twitter Profile Photo

NLUPC imewezesha Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, Mkoani Katavi kuandaa Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Wilaya (DLUFP) @ Mpanda Katavi TZ instagram.com/p/CSXmPCpjAqV/…

Land Use Commission (@nlupctanzania) 's Twitter Profile Photo

NLUPC yawezesha uandaaji wa Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Wilaya ya Uvinza @ Nguruka Uvinza Kigoma instagram.com/p/CTEAWOZDufq/…

Land Use Commission (@nlupctanzania) 's Twitter Profile Photo

Pongezi kwa Mh. Dkt. Angeline Mabula, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi #nlupc #landuseplanning @ Capital City...Dodoma instagram.com/p/CZz32oztBF4/…

Land Use Commission (@nlupctanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwaka mmoja kazini, kuwatumikia Watanzania #kaziiendelee #landuseplanning #nlupc @ Capital City...Dodoma instagram.com/p/CbSxhh4NUOB/…

Land Use Commission (@nlupctanzania) 's Twitter Profile Photo

"Tuulinde na Kuudumisha Muungano Wetu" #nlupc #landuseplanning @ Jakaya Kikwete Convention Center instagram.com/p/Ccz8kZvtlVx/…

Land Use Commission (@nlupctanzania) 's Twitter Profile Photo

Bodi ya Makamishana, Menejimenti na Watumishi wote wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi wanawatakia wadau wote Kheri katika sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya 2023! #nlupc #landuseplanning @ Dodoma, Tanzania instagram.com/p/CmlUeJYtdDi/…