Nickson Kibabage🇹🇿 (@nicksonkibabag) 's Twitter Profile
Nickson Kibabage🇹🇿

@nicksonkibabag

@youngAfricansSC Player

ID: 1618847222543572992

calendar_today27-01-2023 05:44:08

1,1K Tweet

1,1K Takipçi

18 Takip Edilen

EMMARO (@wizwizo99) 's Twitter Profile Photo

Diplomasia ya Dkt. Samia manufaa ndani na nje ya Nchi. 📌Akutana na naibu katibu mkuu UN, wajadili ushirikiano 📌Marekani yaimarisha uhusiano kibiashara na Tanzania 📌EU yaimarisha utafiti wa madini, teknolojia na masoko #KaziNaUtu #TunasongaMbele

Diplomasia ya Dkt. Samia manufaa ndani na nje ya Nchi.

📌Akutana na naibu katibu mkuu UN, wajadili ushirikiano
📌Marekani yaimarisha uhusiano kibiashara na Tanzania
📌EU yaimarisha utafiti wa madini, teknolojia na masoko

#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
cousin 420 (@420cousin) 's Twitter Profile Photo

Mataifa mengi yanaonesha nia ya kujifunza kutokana na uzoefu wa Rais Samia katika kupunguza vifo vya wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka mitano. Mafanikio haya yameiweka Tanzania katika nafasi ya kutazamwa kama mfano wa kuigwa katika juhudi za kuimarisha afya ya mama na

Mataifa mengi yanaonesha nia ya kujifunza kutokana na uzoefu wa Rais Samia katika kupunguza vifo vya wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka mitano. Mafanikio haya yameiweka Tanzania katika nafasi ya kutazamwa kama mfano wa kuigwa katika juhudi za kuimarisha afya ya mama na
Kwame Kivaisi (@kwamekivaisi) 's Twitter Profile Photo

Ujumbe wa wazi kwa Watanzania wote kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025 Mwalimu Kwame Kivaisi, Kemondo Bay, Kagera Mheshimiwa Rais tunafahamu wewe ni muumini mkubwa wa maridhiano na msamaha. Kwa heshima naomba nitoe maoni yangu kwako Mheshimiwa Rais na Watanzania wote. Nionavyo

Ujumbe wa wazi kwa Watanzania wote kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025

Mwalimu Kwame Kivaisi, Kemondo Bay, Kagera

Mheshimiwa Rais tunafahamu wewe ni muumini mkubwa wa maridhiano na msamaha. Kwa heshima naomba nitoe maoni yangu kwako Mheshimiwa Rais na Watanzania wote. 

Nionavyo
Wiseman 😎 (@bizydan) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA wamepoteza mwelekeo baada ya kukosa hoja za msingi. Kukataa uhalali wa CCM ni mbinu ya kujifariji baada ya kushindwa. Sasa wanakuja na ajenda ya maridhiano ili wasisahaulike. Lakini maridhiano hayaji kwa dharau na kashfa kwa mamlaka. Wajifunze kuwa heshima ni

CHADEMA wamepoteza mwelekeo baada ya kukosa hoja za msingi.
   Kukataa uhalali wa CCM ni mbinu ya kujifariji baada ya kushindwa.
   Sasa wanakuja na ajenda ya maridhiano ili wasisahaulike.
   Lakini maridhiano hayaji kwa dharau na kashfa kwa mamlaka.
   Wajifunze kuwa heshima ni
Nickson Kibabage🇹🇿 (@nicksonkibabag) 's Twitter Profile Photo

#TaifaKwanza #KataaVurugu Umoja wa Mataifa (UN) umeisifu nchi yetu kwa uwepo wa amani na utulivu nchini pamoja na mifumo ya utatuzi migogoro ya ndani. Wanaharakati Uchwara hawataki kusikia taarifa hizo kwa sababu wanayo agenda ya kuichafua nchi yetu. Tumewakataa. #HakiNaWajibu

Nickson Kibabage🇹🇿 (@nicksonkibabag) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA wanacheza mchezo wa kuigiza usio na mwisho. Wanadai serikali ya CCM haiko madarakani kihalali, lakini kila siku wanapiga hodi milango ya serikali hiyo hiyo. Huwezi kukataa uhalali wa mti huku ukingojea kivuli chake. Huenda huu ni mkakati wa kutafuta

CHADEMA wanacheza mchezo wa kuigiza usio na mwisho.
   Wanadai serikali ya CCM haiko madarakani kihalali,
   lakini kila siku wanapiga hodi milango ya serikali hiyo hiyo.
   Huwezi kukataa uhalali wa mti huku ukingojea kivuli chake.
   Huenda huu ni mkakati wa kutafuta