Niambie (@niambietz) 's Twitter Profile
Niambie

@niambietz

Ulimwengu wa Vijana kiganjani kwako. Shiriki na Kujiongeza #Niambie #Tanzania

ID: 2613311137

linkhttps://soundcloud.com/niambie calendar_today09-07-2014 10:03:19

6,6K Tweet

9,9K Takipçi

338 Takip Edilen

Niambie (@niambietz) 's Twitter Profile Photo

Ndoa za utotoni bado ni ishu! Licha ya juhudi mbalimbali lakini bado matukio hayo yanaendelea kuripotiwa.Unafanya nini kupinga ndoa za umri mdogo kitaani kwako?

Hii ndio time ya Niambie husikika hewani kila siku ya Jumamosi saa tano asubuhi kupitia Radio ya watu - Clouds FM Mada: Tunawezaje kutatua changamoto za afya ya akili?

Hii ndio time ya Niambie husikika hewani kila siku ya Jumamosi saa tano asubuhi kupitia Radio ya watu - Clouds FM 
 
Mada: Tunawezaje kutatua changamoto za afya ya akili?
Niambie (@niambietz) 's Twitter Profile Photo

Niambie ipo hewani! Leo topic yetu ni “Kumaliza kifamilia kunapelekeaje ndoa za utotoni?” Usikose Niambie, kila jumamosi saa tano, kupitia Clouds FM 📻

Niambie ipo hewani! Leo topic yetu ni “Kumaliza kifamilia kunapelekeaje ndoa za utotoni?” 
 
Usikose Niambie, kila jumamosi saa tano, kupitia Clouds FM 📻
Niambie (@niambietz) 's Twitter Profile Photo

Niambie ipo hewani! Leo topic yetu ni “Unakabiliana vipi na mabadiliko ya mwili wakati wa balehe” Usikose Niambie, kila jumamosi saa tano, kupitia Clouds FM 📻

Niambie ipo hewani! Leo topic yetu ni “Unakabiliana vipi na mabadiliko ya mwili wakati wa balehe” 
 
Usikose Niambie, kila jumamosi saa tano, kupitia Clouds FM 📻
Niambie (@niambietz) 's Twitter Profile Photo

Niambie ipo hewani! Leo topic yetu ni “Ni Umri gani sahihi wa kuanza kuzungumza na kijana kuhusu afya ya uzazi?” Usikose Niambie, kila jumamosi saa tano, kupitia Clouds FM 📻

Niambie ipo hewani! Leo topic yetu ni “Ni Umri gani sahihi wa kuanza kuzungumza na kijana kuhusu afya ya uzazi?” 
 
Usikose Niambie, kila jumamosi saa tano, kupitia Clouds FM 📻
Niambie (@niambietz) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio time ya Niambie husikika hewani kila siku ya Jumamosi saa tano asubuhi kupitia Radio ya watu - Clouds FM Mada: Elimu ya afya ya uzazi inawafikiaje watu wenye ulemavu? Image by ArtPhoto_studio on Freepik

Hii ndio time ya Niambie husikika hewani kila siku ya Jumamosi saa tano asubuhi kupitia Radio ya watu - Clouds FM 
 
Mada: Elimu ya afya ya uzazi inawafikiaje watu wenye ulemavu?

Image by ArtPhoto_studio on Freepik
Niambie (@niambietz) 's Twitter Profile Photo

Ni kwa namna Gani nafasi za uongozi ni fursa kwa wasichana? Niambie husikika hewani kila siku ya Jumamosi saa tano asubuhi kupitia Radio ya watu - Clouds FM Image by senivpetro on Freepik

Ni kwa namna Gani nafasi za uongozi ni fursa kwa wasichana? 
 
Niambie husikika hewani kila siku ya Jumamosi saa tano asubuhi kupitia Radio ya watu - Clouds FM 
 
Image by senivpetro on Freepik
Niambie (@niambietz) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio time ya Niambie husikika hewani kila siku ya Jumamosi saa tano asubuhi kupitia Radio ya watu - Clouds FM Mada: Ni kwa namna gani nafasi za uongozi ni fursa kwa wasichana? Image by pch.vector on Freepik

Hii ndio time ya Niambie husikika hewani kila siku ya Jumamosi saa tano asubuhi kupitia Radio ya watu - Clouds FM 
 
Mada: Ni kwa namna gani nafasi za uongozi ni fursa kwa wasichana?

Image by pch.vector on Freepik
Niambie (@niambietz) 's Twitter Profile Photo

Kuna umuhimu gani wa wapenzi kwenda kituo Cha afya kwa pamoja ili kupata elimu ya afya ya uzazi? Niambie husikika hewani kila siku ya Jumamosi saa tano asubuhi kupitia Radio ya watu - Clouds FM Clouds FM Image by Freepik

Kuna umuhimu gani wa wapenzi kwenda kituo Cha afya kwa pamoja ili kupata elimu ya afya ya uzazi? 
 
Niambie husikika hewani kila siku ya Jumamosi saa tano asubuhi kupitia Radio ya watu - Clouds FM <a href="/cloudsfm/">Clouds FM</a> 
 
Image by Freepik