ngutilaaa (@ngutilaaa98107) 's Twitter Profile
ngutilaaa

@ngutilaaa98107

ID: 1855551868115488769

calendar_today10-11-2024 10:04:03

1,1K Tweet

61 Followers

172 Following

Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge Ndg. Baraka Leonard.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini kwa kuwa anawaongoza wananchi wenye dini ambao dini zao wanaziheshimu na hivyo asingependa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara za huduma za kifedha ili kuvutia uwekezaji wa ndani na nje kwa kuwa maendeleo endelevu ya taifa hayawezi kufikiwa bila ushiriki thabiti wa sekta binafsi. Amesema kuwa sekta

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara za huduma za kifedha ili kuvutia uwekezaji wa ndani na nje kwa kuwa maendeleo endelevu ya taifa hayawezi kufikiwa bila ushiriki thabiti wa sekta binafsi.
 
Amesema kuwa sekta
Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

"๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐˜‚ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ, ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ท๐—ฒ๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ฒ. ๐— ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐˜๐˜‚๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—ผ ๐—ธ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—น๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐˜‚๐—ต๐—ฎ๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ

SAMIA APP (@samia_app) 's Twitter Profile Photo

Dodoma ni jiji ambalo limeanza kupata adha ya foleni kiasi cha kuwa changamoto kwa wafanyabiashara wadogo wanaofanya biashara zao pembeni ya barabara. Hali hiyo imewasumbua kwa muda sasa. Huko ndipo tulipotoka. Tulipo sasa serikali ikaliona hilo na kuamua kujenga barabara za