@ndungurucletus
ID: 1390126259204673537
calendar_today06-05-2021 02:08:53
19 Tweet
484 Takipçi
1,1K Takip Edilen
4 years ago
Sorry Naomba Kuuliza Kwa Anayefahamu, Ilishawahi Kutokea Kwenye Historia Mtu Akapewa Uteuzi Halafu Akaukataa? Yaani Mfano Ameambiwa Amepewa uDC au uRC Kisha Akakataa Akasema No Mheshimiwa Mimi Nahitaji Tu Kuwa Mwananchi Wa Kawaida!! Iliwahi!?