NCCR Mageuzi HQ
@nccrmageuzihq
NCCR-Mageuzi ni chama cha siasa kilichosajiliwa mnamo Januari 21, 1993 kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992. |
[email protected]
ID: 748092020384759808
http://www.nccrmageuzi.or.tz 29-06-2016 09:53:31
1,1K Tweet
3,3K Takipçi
128 Takip Edilen
TAARIFA KWA UMMA! KILA LA HERI #KENYA KWENYE UCHAGUZI MKUU 2022. Chama cha NCCR MAGEUZI (NCCR Mageuzi HQ) kinawatakia #Wakenya wote Uchaguzi wa Amani na Utulivu. Unaotarajia kufanyika leo, 9 Agosti 2022. Kila la heri Kenya! #KenyaDecides2022 #KenyaYaAmani #KenyansPoll
Pamoja na mahakama kudharauliwa Leo tarehe 6 October 2022, Kesi iliyofunguliwa na Wanachama wa NCCR Mageuzi HQ Ndugu #HemediMsabaha na #AnjelinaMutahigwa kuomba zuio la mahakama dhidi ya Mikutano ya #HalmashauriKuu, #KamatiKuu na #MkutanoMkuu itaendelea.
Ungana nasi Kupitia #Clubhouse siku ya Jumapili 9, Octoba kuanzia saa 1:30 usiku. Kufuatilia Moja kwa Moja (#Live) M/Kiti Ndg James F. Mbatia akizungumza kuhusu Katiba Mpya na kujibu maswali. #SautiYaWatanzania #KatibaMpyaNiSasa #UtuItikadiYetu Bofya link ✅ clubhouse.com/join/sauti-ya-…