Wazazi wakienda safari, mamlaka yote ya pale nyumbani anabaki nayo first born, kama hupatani nae, ukifanya tu ngee! Unaweza kushinda au kulala njaa na kipigo juu ๐
Unaweza Ukawa Na Kazi Nzuri, Pesa, Mwanamke Mrembo. Lakini Amani Ya Moyo ikakosekana Kwa Vitu Vidogo Vidogo sana.!! Niwe Mkweli Nateseka Ndugu Zangu Na Muhitaji Mungu zaidi Kuliko kitu Chochote Kwa sasa!!๐ญ!!๐ฅฒ
Mtu akija gheto kwangu asubuhi inabidi kati yangu mi nayeye mmoja wetu anywe chai kwenye sufuria.
Utaratibu wa kumiliki vyombo vingi sina kabisa, gheto langu sio mgahawa. ๐