Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile
Mzawa Blog Tz

@mzawablog

| Ukurasa rasmi wa X wa Mzawa Online | The Official X account of Mzawa Online | #NewsWithUs🌍 | #SisiNaHabari |

Time: 24hrs🎙️

ID: 3378654922

linkhttp://www.mzawa.co.tz calendar_today16-07-2015 10:32:54

155,155K Tweet

102,102K Followers

3,3K Following

Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi mradi wa maji na usafi wa mazingira katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu. Mradi huo unagharimu jumla ya shilingi bilioni 12.8 na unatarajiwa kutoa huduma ya maji kwa wakazi zaidi ya 85,000

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi mradi wa maji na usafi wa mazingira katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu.

Mradi huo unagharimu jumla ya shilingi bilioni 12.8 na unatarajiwa kutoa huduma ya maji kwa wakazi zaidi ya 85,000
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Daraja la Kigongo Busisi, mradi ulioasisiwa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, hatimaye limekamilika na kuwa nuru mpya kwa wakazi wa Mwanza na Kanda ya Ziwa kwa ujumla. Mradi huo wa kihistoria unatarajiwa kufungua milango ya mawasiliano ya uhakika kati ya Wilaya ya Misungwi na

Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Daraja la JP Magufuli ni mfano wa mafanikio makubwa yanayochochewa na uzalendo, uthubutu na uwezo wa Watanzania kutumia rasilimali zao kwa maendeleo ya Taifa. Akizindua rasmi daraja hilo Juni 19, 2025,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Daraja la JP Magufuli ni mfano wa mafanikio makubwa yanayochochewa na uzalendo, uthubutu na uwezo wa Watanzania kutumia rasilimali zao kwa maendeleo ya Taifa.

Akizindua rasmi daraja hilo Juni 19, 2025,
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Waandaaji na waratibu wa Tuzo za Kampuni Bora ya Mwaka Afrika (ACOYA 2025) wametangaza kuanza kufanyika kwa tuzo hizo kwenye nchi Mbalimbali za bara la Afrika, wakitoa pongezi kwa Kampuni zote zilizofanikiwa kuingia hatua ya fainali kwenye msimu huu wa tatu wa tuzo hizo kubwa

Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua mradi wa maji wa Butimba wilaya ya nyamagana Mkoani Mwanza Juni 20,2025.

Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Kumalizika kwa ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi maarufu kama daraja la Magufuli kutafungua fursa nyingi za kibiashara katika eneo la Kanda ya Ziwa kwa kuwa usafiri wa magari kutoka sehemu moja kwenda upande mwingine utarahisika. Hayo yamebainishwa jana Jijini Mwanza kufuatia

Kumalizika kwa ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi maarufu kama daraja la Magufuli kutafungua fursa  nyingi za kibiashara katika eneo la Kanda ya Ziwa kwa kuwa usafiri wa magari kutoka sehemu moja kwenda upande mwingine utarahisika.

Hayo yamebainishwa jana Jijini Mwanza kufuatia
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Msanii wa Bongo Fleva, Gigy Money, kwa sasa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua ghafla. Taarifa hiyo imethibitishwa na uongozi wake kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa msanii huyo Juni 19,2025 Uongozi huo pia umekanusha uvumi unaoenea

Msanii wa Bongo Fleva, Gigy Money, kwa sasa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua ghafla. 

Taarifa hiyo imethibitishwa na uongozi wake kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa msanii huyo Juni 19,2025

Uongozi huo pia umekanusha uvumi unaoenea
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,Juni 20, 2025, amefungua rasmi mradi mkubwa wa maji wa Butimba, ulioko Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 71.7 ulianza kutekelezwa mwezi Februari 2021 na ulikamilika kwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,Juni 20, 2025, amefungua rasmi mradi mkubwa wa maji wa Butimba, ulioko Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza.

Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 71.7 ulianza kutekelezwa mwezi Februari 2021 na ulikamilika kwa
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Wageni na washiriki wa Tuzo za Kampuni Bora ya Mwaka Afrika 2025 (ACOYA 2025) zinazofanyika Leo Jumatano Juni 19, 2025 kwenye ukumbi wa Superdome Masaki Jijini Dar Es salaam, wakiwa ukumbini hapo tayari kufuatilia utoaji wa Tuzo hizo. Lengo la tuzo hizo zinazoratibiwa na CEO

Wageni na washiriki wa Tuzo za Kampuni Bora ya Mwaka Afrika 2025 (ACOYA 2025) zinazofanyika Leo Jumatano Juni 19, 2025 kwenye ukumbi wa Superdome Masaki Jijini Dar Es salaam, wakiwa ukumbini hapo tayari kufuatilia utoaji wa Tuzo hizo.

Lengo la tuzo hizo zinazoratibiwa na CEO
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Taswira ya chanzo cha maji Butimba pamoja na Mtambo wa kutibu maji katika eneo la Butimba mkoani Mwanza. Mradi huo wa maji Butimba umezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 20 Juni, 2025. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni

Taswira ya chanzo cha maji Butimba pamoja na Mtambo wa kutibu maji katika eneo la Butimba mkoani Mwanza. Mradi huo wa maji Butimba umezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 20 Juni, 2025.

Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Zhenhao Zou, raia wa China na mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu (PhD) nchini Uingereza, amehukumiwa kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya kuwabaka wanawake 10. Baada ya kesi yake kusomwa tarehe. June19,2025 katika Mahakama kuu ya Inner London Crown Court Na

Zhenhao Zou, raia wa China na mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu (PhD) nchini Uingereza, amehukumiwa kifungo cha maisha baada  ya kupatikana na hatia ya  kuwabaka wanawake 10. 

 Baada ya kesi yake kusomwa tarehe. June19,2025 katika  Mahakama kuu ya  Inner London Crown Court Na
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa wananchi kuendeleza na kutunza sifa ya amani, utulivu na mshikamano wa nchi, akisisitiza kuwa hayo ndiyo msingi wa maendeleo ya kweli. Ametoa wito huo Juni 20, 2025, wakati wa uzinduzi wa mradi wa

Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, anakumbwa na pigo kubwa baada ya ripoti kuibuka kuwa kocha wake msaidizi, Carlos Cuesta, yupo mbioni kuondoka klabuni hapo kuelekea klabu ya Parma ya Italia, ambapo anatarajiwa kuwa kocha mkuu. Cuesta, ambaye alijiunga na benchi la Arsenal mwaka

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, anakumbwa na pigo kubwa baada ya ripoti kuibuka kuwa kocha wake msaidizi, Carlos Cuesta, yupo mbioni kuondoka klabuni hapo kuelekea klabu ya Parma ya Italia, ambapo anatarajiwa kuwa kocha mkuu.

Cuesta, ambaye alijiunga na benchi la Arsenal mwaka
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Mama Salma Kikwete, ambaye pia ni mke wa Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, amezua mjadala mzito kuhusu matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu maarufu kama “energy drinks” kwa vijana nchini. Akizungumza bungeni Juni 20,2025 , Mama Salma

Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Israel na Iran wameendelea kukabiliana kupitia anga, wakitishia amani ya Mashariki ya Kati. Usiku wa kuamkia Juni 20,2025 , mji wa Beersheba kusini mwa Israel ulishambuliwa kwa mabomu, ikiwa ni muendelezo wa mashambulizi makali yanayoendelea kati ya mataifa hayo mawili hasimu.

Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), kwa kushirikiana na mataifa matatu wenyeji wa Mashindano ya TotalEnergies CAF African Nations Championship (CHAN) 2024 Kenya, Tanzania na Uganda limetangaza rasmi viwanja vitakavyotumika kwa mechi ya ufunguzi, ya mshindi wa tatu na nne,

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), kwa kushirikiana na mataifa matatu wenyeji wa Mashindano ya TotalEnergies CAF African Nations Championship (CHAN) 2024  Kenya, Tanzania na Uganda  limetangaza rasmi viwanja vitakavyotumika kwa mechi ya ufunguzi, ya mshindi wa tatu na nne,
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya imesema Watanzania waliopo nchini Israel na Iran wapo salama, kufuatia mataifa hayo kushambuliana kwa makombora kwa muda wa wiki moja sasa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje Juni 19,2025 imeeleza kuwa hatua za haraka zimeanza kuchukuliwa ili

Serikali ya imesema Watanzania waliopo nchini Israel na Iran wapo salama, kufuatia mataifa hayo kushambuliana kwa makombora kwa muda wa wiki moja sasa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje Juni 19,2025 imeeleza kuwa hatua za haraka zimeanza kuchukuliwa ili
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Zambia imesitisha rasmi kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa rais wa zamani Edgar Lungu baada ya familia yake kughairi kurejeshwa kwa mwili wake kutoka Afrika Kusini. Taarifa hiyo imetolewa na Rais Hakainde Hichilema Juni 20,2025 na kueleza kuwa serikali imefikia

Serikali ya Zambia imesitisha rasmi kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa rais wa zamani Edgar Lungu baada ya familia yake kughairi kurejeshwa kwa mwili wake kutoka Afrika Kusini.

Taarifa hiyo imetolewa na Rais Hakainde Hichilema Juni 20,2025 na kueleza kuwa serikali imefikia
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Chifu Mkuu Hangaya, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki katika Tamasha la Utamaduni wa Bulabo Kanda ya Ziwa lililofanyika katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, mkoani Mwanza,Juni 21, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Chifu Mkuu Hangaya, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki katika Tamasha la Utamaduni wa Bulabo Kanda ya Ziwa lililofanyika katika Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora, mkoani Mwanza,Juni 21, 2025.