Mzalendo Daily (@mzalendodaily) 's Twitter Profile
Mzalendo Daily

@mzalendodaily

Uchambuzi | Maoni | Siasa | Uchumi |

ID: 1517604004464893953

linkhttp://www.mzalendodaily.com calendar_today22-04-2022 20:39:47

793 Tweet

4,4K Takipรงi

0 Takip Edilen

Mzalendo Daily (@mzalendodaily) 's Twitter Profile Photo

Kwamba umeanza kutuma watu wakuombee msamaha kwa Mama? Kwani Mama ndiye aliyekuweka ndani? si upuuzi wako wa kupenda kuropoka, tuache mahakama ifanye kazi yake, si mnasema mna mawakili wakali nyie, haya.

Kwamba umeanza kutuma watu wakuombee msamaha kwa Mama?

Kwani Mama ndiye aliyekuweka ndani? si upuuzi wako wa kupenda kuropoka, tuache mahakama ifanye kazi yake, si mnasema mna mawakili wakali nyie, haya.
Mzalendo Daily (@mzalendodaily) 's Twitter Profile Photo

NRNE imekufa kifo kibaya sana. Ni upuuzi wa kiwango cha kustaajabisha kuanzisha vita ambayo, mnajua wazi kwamba hamwezi kushinda. Haiwezekani na haitowezekana kwa chama au taasisi yeyote hapa nchini, kushindana na CCM, vita yeyote ile inahitaji rasilimali, ambazo nyie hamna. ๐Ÿ˜‚