
.
@mwizukulu87
ID: 1347112158
12-04-2013 15:52:22
26,26K Tweet
1,1K Takipçi
1,1K Takip Edilen









#BreakingNews Jeshi la Polisi limezingira ofisi za Tanganyika Law Society(TLS) na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia watu kufika eneo hilo, ambapo tulikusudia kuadhimisha #ChademaMashujaaDay kuwakumbuka wahanga wa kupigania haki na demokrasia nchini.


#Updates Kutokana na Jeshi la Polisi kuzingira ofisi za Tanganyika Law Society(TLS) kuzuia maadhimisho ya #ChademaMashujaaDay, viongozi wakuu wa Chama wanashauriana tutatoa taarifa na uelekeo wa tukio hilo.









