R.M. Mackenzie
@mwemarm
𝑰𝒏 𝒍𝒊𝒇𝒆, 𝒂𝒍𝒘𝒂𝒚𝒔 𝒑𝒓𝒊𝒐𝒓𝒊𝒕𝒊𝒛𝒆 𝒘𝒉𝒂𝒕 𝒕𝒓𝒖𝒍𝒚 𝒎𝒂𝒕𝒕𝒆𝒓𝒔 𝒕𝒐 𝒚𝒐𝒖. #𝐑𝐓𝐬 𝐍𝐨𝐭 𝐄𝐧𝐝𝐨𝐫𝐬𝐞𝐦𝐞𝐧𝐭
ID: 1814011597544935424
18-07-2024 18:57:41
236 Tweet
52 Takipçi
10 Takip Edilen
𝐌𝐈𝐊𝐈𝐊𝐈 𝐘𝐀 𝐒𝐏𝐎𝐓𝐈 𝐉𝐔𝐌𝐀𝐏𝐈𝐋𝐈 𝐈𝐉𝐀𝐘𝐎 kuanzia 𝟒𝐏𝐌 usikose kutegea @Radio47KE tukizungumzia masuala ya SS ASSAD FC #𝐒𝐢𝐦𝐛𝐚𝐆𝐢𝐢 Shukran Sana Ali Kauleni Hassan na mc Gatanga Min. of Youth Affairs, Creative Economy & Sports Godfrey Aluda TV47 JAC FM 106.2
H.E. Achani is enhancing Kwale County's business environment. Today's roundtable meeting with investors organized by Kwale County with the support of Kenya Export Promotion and Branding Agency & KenInvest she emphasized creating sustainable opportunities to make Kwale a prime investment destination.
We are sorry for dissapointing results during the SS Assad FC v/s Naivas FC NSL clash on Saturday 28/9/24 at Ukunda show ground-SS Assad's communication and PR head R.M.Mackenzie in a statement apologises to the fans.@106.6 shekifm Shukrani Kuzi R.M. Mackenzie Kwale County
"Football ni process timu haijengwi kwa siku moja kuweni na subira matokeo yatakuja",-kocha wa SS Assad FC Phelix Ogutu kwa mashabiki baada ya vijana wake kuilaza Nairobi United kwa bao 1-0 jumamosi 5/10/24 ugani Ukunda show ground.@106.6 shekifm R.M. Mackenzie Shukrani Kuzi FKF NSL
𝗞𝘄𝗮𝗹𝗲 𝗦𝘁𝗮𝗱𝗶𝘂𝗺. It's often said that a single picture can convey more meaning and emotion than spoken words ever could, capturing moments and feelings in ways that language sometimes cannot fully express. Council of Governors Kwale County Mohammed Hersi : Mr Optimist State House Kenya
The President Dr. William Samoei Ruto, PhD and Deputy President Prof. Kithure Kindiki share this in common: neither was born or raised within the walls of State House Kenya
Klabu ya SS Assad FC yaichakaza Mombasa United fc kwa bao 1-0 kwenye mtanange wa kukata na shoka wa NSL ulio garagazwa leo jumapili 23/11/24 ugani Serani kaunti ya Mombasa.@106.6 shekifm Kwale County FKF Kwale County Branch Shukrani Kuzi FKF NSL #FootballKE
Congratulations to Governor Mama Achani on winning the "Gender Justice Award 2024" for "Most Enabling Legal Environment". Her leadership in advancing gender equality and inclusivity is truly inspiring. Kwale County Council of Governors Mohammed Hersi : Mr Optimist Muslim Women Advancement of Rights and Protection United Democratic Alliance, UDA.
Ni rasmi kuwa wanafunzi wanaoendelea na masomo yao katika shule za upili za kitaifa watanza mwaka bila changamoto. Hii ni kufuatia uzinduzi rasmi wa hundi ya Shs. milioni 95,605,722 na Gavana Achani. Fedha hizi zitasambazwa kwa kila Wadi ndani ya Kwale County, #WatotoWasome.