profile-img
Judith Mwanri

@mwanriquee

Real Estate, Airbnb @hamiahapa, Land & Environment @milkinamali. Wife๐Ÿ’ & Mum ๐Ÿ‘ถ Member @flafres_org @arepta_tz @areaorgtz

calendar_today04-04-2023 15:20:53

4,9K Tweets

3,9K Followers

771 Following

Judith Mwanri(@mwanriquee) 's Twitter Profile Photo

Hii ni fursa kubwa, ila kuna wahitaji & hawaioni. Kikubwa uwe mwaminifu & sharp.

Wateja tayari Bro anao ila mtu wa sourcing, delivery logistics & digital marketing anamiss.

Ukifanya hii kazi unaomba kazi maofisini kupitia wateja wako,CV ni haiba yako.

Kazi unapata ukiwa kazini

account_circle
Judith Mwanri(@mwanriquee) 's Twitter Profile Photo

- Vaa vizuri wakati wa delivery
- Kuwa na after service nzuri
- Omba wadau waRT account yako ikue
- Business card uwe nazo, CV soft copy iwe standby muda wowote unaweza kuombwa itumwe kwa head of sales kampuni XYZ

account_circle