MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile
MwanaHALISI Digital

@mwanahalisitz

MwanaHALISI Digital ni Ukurasa wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers wamiliki wa magazeti ya MwanaHALISI, MAWIO, MwanaHALISI Online na MwanaHALISI TV

ID: 2269936272

linkhttp://mwanahalisionline.com calendar_today31-12-2013 05:56:16

30,30K Tweet

351,351K Followers

458 Following

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Kampuni ya GF Trucks & Equipment Ltd imeibuka mshindi wa jumla wa maonyesho ya biashara ya kimataifa 2025 yanayoendelea jijini Dar es salaam. Kupitia kiwanda chake cha kuunganisha Magari makubwa cha GF Vehicle Assemblers(GFA) kilichopo Kibaha mkoani Pwani Katika maonesho hayo

Kampuni ya GF Trucks & Equipment Ltd imeibuka mshindi wa jumla wa maonyesho ya biashara ya kimataifa  2025 yanayoendelea jijini Dar es salaam.

Kupitia kiwanda chake cha kuunganisha Magari makubwa cha GF Vehicle Assemblers(GFA) kilichopo Kibaha mkoani Pwani

Katika maonesho hayo
MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

"Miaka hii mitano imepita miaka migumu sana sheria za hovyo zimepitishwa ndani ya bunge ...halafu kuna mtu anawaambia msishiriki uchaguzi ...mimi siwezi kusema labda wamenunuliwa na CCM kwa sababu watu wengine nawaheshimu sana nachokiona mimi hawa watu wamechanganyikiwa mapambano

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

ACT Wazalendo itageuza Uchaguzi wa 2025 kuwa uwanja wa mapambano kuinusuru demokrasia iliyotekwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na dola. Maneno hayo yalisemwa na Naibu Mwenezi Taifa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo wakati akihutubia mkutano wa hadhara ulio fanyika Mkoani Shinyanga jana.

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dkt. Ashatu Kijaji amewashukuru wafugaji nchini kwa utayari wao kwenye utekelezaji wa mpango wa kuboresha sekta ya Mifugo nchini hususan upande wa kampeni ya Chanjo na Utambuzi iliyoasisiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Tanzania imetangaza malengo kabambe ya kiuchumi katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha taifa linafikia pato la taifa la Dola za Kimarekani trilioni moja na mtu mmoja mmoja kuwa na pato la wastani la Dola 7,000 kwa mwaka sawa na takriban

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

"Tunaweza kutofautiana juu ya mbinu za kutekeleza dira, hiyo huwezi kuzuia na vinginevyo hutokuwa na sababu ya kuwa na watu wengi na hutokuwa na sababu ya Viongozi kwenda kuomba kura. Kila mtu atakuja na kaulimbiu ya kutekeleza Dira hii, hakuna tatizo, kaulimbiu ya Kiongozi

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Lucky Rush Tournament kutoka Meridianbet inawapa wachezaji nafasi ya kushinda sehemu ya TZS 1.5 bilioni kwa kucheza sloti za Playtech. Jisajili mtandaoni, na kwa wale wa USSD na vitochi piga, *149*10#. #meridianbettz #kasinoyamtandaoni #slotimachine #ushindimkubwa #titanroulette

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa Serikali ya awamu ya sita na Chama Cha Mapinduzi Kinathamini uwepo wa Vyombo vya habari imara, katika kukuza uwajibikaji na kuimarisha utawala bora nchini. Akizungumza na wahariri wa Vyombo

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa chama mstaafu na mwanasiasa mkongwe, Zitto Kabwe, ameibua hoja nzito kuhusu rasilimali za chuma nchini, akidai kuwa Serikali kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) haijaweka wazi thamani halisi ya madini yanayopatikana katika chuma cha Tanzania. Akihutubia wakazi wa Jimbo

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wa vijiji vya onge, Kifinge, Kirongwe, Jojo na Baleni, vilivyopo wilayani Mafia, mkoani Pwani, wameitaka serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi dhidi ya muwekezaji, kampuni ya Fazal Bhanji Jessa. Kwa mujibu wa wananchi hao wamesema kuwa, muwekezaji huyu anadai

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kupitia bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025, imetoa jumla ya shilingi bilioni 16.696 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) mkoani Tanga. Kati ya fedha hizo, jumla ya

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wa Wilayani Mafia, mkoa wa Pwani wamemuangukia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati mgogoro wa ardhi dhidi ya anayeitwa muwekezaji kampuni ya Fazal Bhanji Jessa. Kwan mujibu wa wananchi hao kutoka vijiji vya onge, Kifinge,

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amewashauri viongozi wa kisiasa nchini, serikali na wadau wote wa uchaguzi kukaa mezani haraka iwezekanavyo ili kujadiliana na kuondoa dosari zilizozua sintofahamu kuelekea uchaguzi mkuu wa

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas, jana Julai 08, 2025 ameikosoa vikali Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kile alichokiita usaliti kwa wananchi wa Namtumbo kupitia sekta ya madini. Akihutubia wakazi wa jimbo hilo, Ester amesema kuwa licha ya uwepo wa

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa mkoa wa Pwani umesema kuwa utatumia siku 30 pekee kuchanja na kutambuaMifugo yake badala ya miezi 2 iliyopangwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kutekeleza zoezi hilo. Ahadi hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Shaib Ndemanga ambaye pia alimwakilisha mkuu wa Mkoa

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Pata bonasi ya kibabe hapa ukibashiri mechi ya Nusu Fainali kati ya Fluminense vs Chelsea , pia unaweza kubashiri mechi kibao na Meridianbet. Kwa wale wa USSD na vitochi piga *149*10#. #meridianbettz #kasinoyamtandaoni #slotimachine #ushindimkubwa #titanroulette #oddskubwa

Pata bonasi ya kibabe hapa ukibashiri mechi ya Nusu Fainali kati ya Fluminense vs Chelsea , pia unaweza kubashiri mechi kibao na Meridianbet. Kwa wale wa USSD na vitochi piga *149*10#.
 #meridianbettz #kasinoyamtandaoni #slotimachine #ushindimkubwa #titanroulette #oddskubwa
MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Jiunge na Expanse Tournament ya Meridianbet sasa ushindanie zawadi za kuvutia hadi TZS 1,000,000 taslimu na mizunguko ya bure. Jisajili mtandaoni, na kwa wale wa USSD na vitochi piga, *149*10#. #meridianbettz #kasinoyamtandaoni #slotimachine #ushindimkubwa #titanroulette

Nani kusonga fainali ya CWC leo kati ya PSG vs Real Madrid?. Bashiri mechi hii na nyingi upige pesa leo, Kwa wale wa USSD na vitochi piga *149*10#. #meridianbettz #kasinoyamtandaoni #slotimachine #ushindimkubwa #titanroulette #oddskubwa

Nani kusonga fainali ya CWC leo kati ya PSG vs Real Madrid?. Bashiri mechi hii na nyingi upige pesa leo, Kwa wale wa USSD na vitochi piga *149*10#. 
#meridianbettz #kasinoyamtandaoni #slotimachine #ushindimkubwa #titanroulette #oddskubwa
MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amesema Vijana wa Afrika wasichukuliwe kama watazamaji wa historia bali wawe watekelezaji wakuu wa dira mpya ya ukombozi wa Afrika wa kiuchumi, kidijitali na kisiasa. Ndg. Jokate amesema hayo jana Julai 08 2025 alipowasilisha

Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amesema Vijana wa Afrika wasichukuliwe kama watazamaji wa historia bali wawe watekelezaji wakuu wa dira mpya ya ukombozi wa Afrika wa kiuchumi, kidijitali na kisiasa.

Ndg. Jokate amesema hayo jana Julai 08 2025 alipowasilisha