Leonard Kihade (@mwakihade) 's Twitter Profile
Leonard Kihade

@mwakihade

Love is My Religion ♥️

ID: 857880042835247104

calendar_today28-04-2017 08:51:55

19,19K Tweet

1,1K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Dr. Jabhera Matogoro asherehekea Miaka 16 ya Mafanikio akiwa UDOM. Mtaalamu wa Cyber Security Chuo Kikuu cha Dodoma 10/10. Alianza kazi September 01, 2009 kama mchambuzi wa Mifumo baadae akapanda hadi sasa ni Mhadhiri.

Dr. Jabhera Matogoro asherehekea Miaka 16 ya Mafanikio akiwa UDOM.

Mtaalamu wa Cyber Security Chuo Kikuu cha Dodoma 10/10.

Alianza kazi September 01, 2009 kama mchambuzi wa Mifumo baadae akapanda hadi sasa ni Mhadhiri.
Kirigiti (@kirigitim) 's Twitter Profile Photo

Kwanini siku ya kwanza Tunduma Mkurugenzi alipeleka na kutoa chuma mbili halafu sasa hivi anapeleka moja moja? Nimeona ABC leo anatoa chuma nne Tunduma na nne Dar. Tunduma bado haina mwenyewe mpaka sasa. Newforce anapumuliwa vibaya sana. Ila muda utaongea. 🐐 ni 🐐 tu.

Kwanini siku ya kwanza Tunduma Mkurugenzi alipeleka na kutoa chuma mbili halafu sasa hivi anapeleka moja moja? Nimeona ABC leo anatoa chuma nne Tunduma na nne Dar.

Tunduma bado haina mwenyewe mpaka sasa. Newforce anapumuliwa vibaya sana. Ila muda utaongea. 🐐 ni 🐐 tu.
Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Azam Sea Tax nyingine hizi apa. Uwezo wa abiria ni 250 Hizi wote mnaangalia upande mmoja na zina mziki kabisa. Jumla ziko nane sasa. Huyu mzee apa Kigamboni- Kivukoni amewekeza sana hapa

Azam Sea Tax nyingine hizi apa.
Uwezo wa abiria ni 250

Hizi wote mnaangalia upande mmoja na zina mziki kabisa. 

Jumla ziko nane sasa.

Huyu mzee apa Kigamboni- Kivukoni amewekeza sana hapa