Muwindaji (PhD) (@muwindaji) 's Twitter Profile
Muwindaji (PhD)

@muwindaji

||simba& Manchester united fans|| Baba jane||

DM, KWA matangazo ya biashara.

ID: 1428725614199066628

calendar_today20-08-2021 14:28:38

111,111K Tweet

46,46K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Salim Alkhasas (@salim_alkhasas) 's Twitter Profile Photo

Me sina shida ya ACT wazalendo kulinda kura, ni jambo jema saaaaana.. swali langu je, wanazo hizo kura? Sasa kura mbili ni kitu cha kulinda?

Muwindaji (PhD) (@muwindaji) 's Twitter Profile Photo

Serikali imesema haijafungia kanisa la gwajima lakini cha kushangaza polisi wamezuia kwamba polisi wanajiamulia wao cha kufanya au huko juu serikali zipo ngapi sawa bwana nyie endeleeni tu oneday kitatokea mnachokitafuta ikumbukwe kila binadamu ana ukomo wa uvumilivu

MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

Hans Raphael alijua Studio leo siku yake itakua nyepesi maskini imeishia kuwa ngumu... Anaishia Kudai Mpira umeshinda anaulizwa kanuni gani imetumika anaruka ruka! 😂😂

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Tundu Lissu kueleza Mahakama utaratibu wa makazi yake akiwa gerezani ulivyo wa ajabu, na kwamba hatendewi haki, amelitaka jopo la mawakili wake wajiondoe na atajitetea mwenyewe katika shauri lake la uhaini. Hivyo, kuanzia sasa ni Tundu Lissu Vs Mawakili wa Serikali.

Muwindaji (PhD) (@muwindaji) 's Twitter Profile Photo

Humu usimuamini kila mtu nilishawahi kupigwa biti humu hadi nikaogopa nikafanya juu chini nikutane nae alonipiga biti nilishtuka sana baada ya kukaona kale kajamaa nikajisemea kimoyo moyo ujasiri nao ni kitu cha msingi sana kumbe😂😂😂😂

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Jimbo la RUNGWE rushwa zinatolewa kama njugu. Watu wamepewa 470k wagawane watu 71. Wamepewa mat-shirt BURE. Wamepewa 20k ya usafiri kila mmoja. Ndiomaana tunasema #NoReformsNoElection VIBAKA KAMA HAWA WANABIDI WAWE JELA. TUTAKUWEPO🫵😎