@muneneanderson1
ID: 1614177369404628995
calendar_today14-01-2023 08:27:57
15,15K Tweet
2,2K Takipçi
2,2K Takip Edilen
a month ago
Kama mimi ni enemy wako jua am not suffering.
Uyo msichana Alicon uyo dem hakufanya fity lakini situation yenye Niko namuelewa
Kuoga na kurudi soko 😂
Pesa yangu inaniletea shida hivi,inatumika kununua vitu zinaniaumbua hivi💀😂
At my prime saa hii ningekuwa nimechange avi mara twenty juu loyals wamekataa kuengage
Hii pesa nayo itakuja, nani ako na 70 bob hapo aniwekee niendee keg.
Ushaiguswa ukasikia tu kunyora 😔
Mtu akioshwa anatulia, mnashinda mmelia TL juu ya pesa kidogo.
economy ni mbaya adi sipati pesa ya kulipa malaya wangu
Ushaiangalia mtu kwa macho ivi ukam—danganya😂
ukiniomba alafu nikose kukusaidia walai it pains me more...
Upishi kidogo taxin ishapatana na steam ya mayai sai inaonja kuku sama 🤤😂
wtf is usiku mwema kama utaki kuniambia goodnight si unasema tu🚮
Mjengo in blood mpaka siku ya wedding yako mnapika githeri😂
Mimi huyo chebo keiyo ashawahi ni con fare ya northrift kutoka kakamega hadi Eldoret 😭nilikuwa busy kubook gari
Wewe unaimbia tu brighter days are coming, wengine wanaiba tumake their day bright.😂😂
Kaa ukijua ni wewe hauna pesa hii taun ju pia mimi niko pesa
Ukikuwa stucked sana kwa religion kuna deals zitakupita tu