Muuguzi mkuu the snickers ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿš‘๐Ÿ”ฌ (@mullamaulid) 's Twitter Profile
Muuguzi mkuu the snickers ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿš‘๐Ÿ”ฌ

@mullamaulid

Liverpool and simba fan๐Ÿฅ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
BScN at St.John university of TANZANIA.
Stay focus and not balanced.

ID: 1771158499193397248

linkhttps://www.instagram.com/muuguzimkuu_?igsh=MTAyYXI5eHRjdmp2OA== calendar_today22-03-2024 12:55:20

1,1K Tweet

210 Takipรงi

417 Takip Edilen

Muuguzi mkuu the snickers ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿš‘๐Ÿ”ฌ (@mullamaulid) 's Twitter Profile Photo

Nimerudi muuguzi wenu Mada ni kuhusu HEPATITIS, Je ni nini tofauti Kati ya HEPATOPULMONARY SYNDROME and PORTO PULMONARY HYPERTENSION. haya sasa nimewaletea madkatari wa Twitter, tupeni shule . ..Swali langu ni je ni ipi Ina contraindications na liver transplant?.

Nimerudi muuguzi wenu Mada ni kuhusu HEPATITIS, 
Je ni nini tofauti Kati ya HEPATOPULMONARY SYNDROME  and PORTO PULMONARY HYPERTENSION. 
haya sasa nimewaletea madkatari wa Twitter,  tupeni shule .
..Swali langu ni je ni ipi Ina contraindications na liver transplant?.
Pancras Flahisha (@flahisha) 's Twitter Profile Photo

Kwa SASA Wanapinga vikali chaguzi zisizo huru kwa kauli maarufu "No Reform No Election". Bunge la Umoja wa Ulaya (EU Parliament) liliunga mkono madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Kufikia 2024, chama bado kinapigania katiba mpya na tume huru kabla ya kushiriki chaguzi.

Kwa SASA Wanapinga vikali chaguzi zisizo huru kwa kauli maarufu "No Reform No Election". Bunge la Umoja wa Ulaya (EU Parliament) liliunga mkono madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Kufikia 2024, chama bado kinapigania katiba mpya na tume huru kabla ya kushiriki chaguzi.
Fabrizio Romano (@fabrizioromano) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ Jorge Mendes: โ€œLamine Yamal deserves to win the Ballon dโ€™Or this yearโ€. โ€œHeโ€™s been the best player in the world this season, thatโ€™s very clear. Lamineโ€™s level has been worth the Ballon dโ€™Orโ€.

๐Ÿšจ Jorge Mendes: โ€œLamine Yamal deserves to win the Ballon dโ€™Or this yearโ€.

โ€œHeโ€™s been the best player in the world this season, thatโ€™s very clear. Lamineโ€™s level has been worth the Ballon dโ€™Orโ€.
Muuguzi mkuu the snickers ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿš‘๐Ÿ”ฌ (@mullamaulid) 's Twitter Profile Photo

Siku ya wauguzi duniani. Nakumbusha tuache kuzama chumvini( kunyonya Kyuma) ni hatari kwa afya yako. Naomb tuulizane chochote kinacho kutatiza kuhusu afya nitakujibu. Welcome ๐Ÿ™

Siku ya wauguzi duniani.
Nakumbusha tuache kuzama chumvini( kunyonya Kyuma) ni hatari kwa afya yako.
Naomb tuulizane chochote kinacho kutatiza kuhusu afya nitakujibu.
Welcome ๐Ÿ™
๐”๐ƒ-๐๐Ž๐˜ (@udsm_finest) 's Twitter Profile Photo

Usajili wa karne! Jina la Feisal Salum, nyota wa Azam FC na mfalme wa viwanja, limevuma kote Tanzania huku tetesi zikimudu kwenda Simba SC chini ya mkono wa mfalme wa fedha, Mohammed โ€˜Moโ€™ Dewji. Je, hili ni dili la kweli au mchezo wa kejeli wa soka? Katika uzi huu, nakupeleka

Usajili wa karne! 

Jina la Feisal Salum, nyota wa Azam FC na mfalme wa viwanja, limevuma kote Tanzania huku tetesi zikimudu kwenda Simba SC chini ya mkono wa mfalme wa fedha, 

Mohammed โ€˜Moโ€™ Dewji. Je, hili ni dili la kweli au mchezo wa kejeli wa soka? Katika uzi huu, nakupeleka
Charles Chelsea Jr (@charleschelsea_) 's Twitter Profile Photo

Mfano tu wa Timu ambazo ni Must Win This Weekend ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Ni either ushinde uchukue Ndoo au Upoyeze/droo upoteze Ndoo๐Ÿ˜… Kazi kwenu๐Ÿ˜…

Mfano tu wa Timu ambazo ni Must Win This Weekend ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Ni either ushinde uchukue Ndoo au Upoyeze/droo upoteze Ndoo๐Ÿ˜…

Kazi kwenu๐Ÿ˜…
UCHEBE BOOST (@uchebeboost) 's Twitter Profile Photo

REPOST โ™ป๏ธ Mwanafunzi wangu wa graphics design huyu na Marketing ameiva, tayari yupo kwenye market analeta impact Mpigie kura kama una app ya boomplay kupitia link hii boomplay.com/share/buzz/543โ€ฆ Best Graphics Designer VOTE FOR๐Ÿ‘‰๐ŸปMR. P_PRINTING Kama huna app nisaidie kurepostโœŠ๏ธ

REPOST โ™ป๏ธ 

Mwanafunzi wangu wa graphics design huyu na Marketing ameiva, tayari yupo kwenye market analeta impact

Mpigie kura kama una app ya boomplay kupitia link hii
 boomplay.com/share/buzz/543โ€ฆ

Best Graphics Designer
VOTE FOR๐Ÿ‘‰๐ŸปMR. P_PRINTING

Kama huna app nisaidie kurepostโœŠ๏ธ