
TEHSA-MUHAS
@muhas_tehsa
TANZANIA ENVIRONMENTAL HEALTH STUDENTS ASSOCIATION (TEHSA) Promoting environmental health🍀 for healthy and safe communities. 📧 [email protected]
ID: 1358139746896252934
06-02-2021 19:46:57
139 Tweet
190 Takipçi
230 Takip Edilen

We are super excited to announce Hussein Mohamed PH Knowledge Hub as our official sponsor.🤩💥 Hussein Mohamed PH Knowledge Hub is dedicated to promoting public health awareness, education, and training, all aimed at enhancing community health outcomes. Hussein Mohamed










Wadhamini wakubwa kabisa kutoka UniChampions walikuwepo pia. Tunajivunia uwepo wenu. “Hatua moja na afisa afya, kuokoa maisha ya mama na mtoto” #tehsawalkathon2025 #Walktosavelives #Asantesana #Sponsorforhealthierfuture


Tunashukuru kwa udhamini kutoka Ubepari PC Company. Tunajivunia uwepo wenu. Kufahamu zaidi wanajihusisha na nini gusa hapa kutembelea akaunti zao Ubepari PC Company “Hatua moja na afisa afya, kuokoa maisha ya mama na mtoto” #tehsawalkathon2025


Wadau wakubwa na wa kipekee kutoka My Health Jogging Team walikuwepo. Tulikuwa na trainer mwenye ujuzi wa viwango vya juu sana kutoka kwao, tunawashukuru sana. Tunajivunia uwepo wenu. “Hatua moja na afisa afya, kuokoa maisha ya mama na mtoto” #tehsawalkathon2025 #Walktosavelives








