Mtabe (@mtabeapp) 's Twitter Profile
Mtabe

@mtabeapp

A supermarket of learning.

ID: 881969641727311872

linkhttp://mtabe.co calendar_today03-07-2017 20:15:23

331 Tweet

1,1K Followers

24 Following

Mtabe (@mtabeapp) 's Twitter Profile Photo

Umekuwa ukihitaji kujifunza kiingereza lakini hela au huna muda? Kozi ina video 15 zinazokutoa kutoka mtu asiyejua kiingereza hata kidogo mpaka kuweza kuongea, kuandika bila shida. Tembelea mtabe.co/c/english unaweza kusoma popote muda wowote kwenye simu yako. Ni 10,000 TU.

Mtabe (@mtabeapp) 's Twitter Profile Photo

Njia kadhaa za kumalizia ujumbe wako unapoandika email. 🔗Kozi nzima ya kiingereza inapatikana kupitia mtabe.co/c/english Kozi yote ni 10,000, ina videos 15 na imeandaliwa kwa ajili ya mtu anayeanza kujifunza kiingereza mwanzo kabisa.

Njia kadhaa za kumalizia ujumbe wako unapoandika email.

🔗Kozi nzima ya kiingereza inapatikana kupitia mtabe.co/c/english 

Kozi yote ni 10,000, ina videos 15 na imeandaliwa kwa ajili ya mtu anayeanza kujifunza kiingereza mwanzo kabisa.
Mtabe (@mtabeapp) 's Twitter Profile Photo

Update mpya sasa iko live Google Playstore 🚀🚀 Tumerahisisha njia ya kupata kozi na kusoma kwa video 👏🏼 Link: play.google.com/store/apps/det…

Update mpya sasa iko live Google Playstore 🚀🚀

Tumerahisisha njia ya kupata kozi na kusoma kwa video 👏🏼

Link: play.google.com/store/apps/det…
Mtabe (@mtabeapp) 's Twitter Profile Photo

Today we’ve setup a WhatsApp Channel for Mtabe, where you can get educational content straight to your inbox: 🔗Link: whatsapp.com/channel/0029Va… Karibu.

Today we’ve setup a WhatsApp Channel for Mtabe, where you can get educational content straight to your inbox:

🔗Link:
whatsapp.com/channel/0029Va…

Karibu.
Mtabe (@mtabeapp) 's Twitter Profile Photo

Umeshapata cheti chako ya Microsoft Excel? 🔥 Tembelea mtabe.co/c/excel uanze kusoma kusoma Excel kwa mfumo wa video ukifundishwa kwa lugha ya kiswahili kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Kozi nzima ni shilingi elfu 10 TU. Baada ya hapo, kozi ni yako milele.

Umeshapata cheti chako ya Microsoft Excel? 🔥

Tembelea mtabe.co/c/excel uanze kusoma kusoma Excel kwa mfumo wa video ukifundishwa kwa lugha ya kiswahili kuanzia mwanzo mpaka mwisho. 

Kozi nzima ni shilingi elfu 10 TU. Baada ya hapo, kozi ni yako milele.
Mtabe (@mtabeapp) 's Twitter Profile Photo

Kwa masaa 12 yajayo, Mtabe ina ofa kwa ajili yako: Kozi utakazoweza kununua kwa bei hii ya leo ni: ⁃Jifunze Kiingereza - nenda mtabe.co/c/english ⁃Microsoft Excel - nenda mtabe.co/c/excel ⁃Microsoft Word - nenda mtabe.co/c/word Karibu 🚀

Kwa masaa 12 yajayo, Mtabe ina ofa kwa ajili yako:

Kozi utakazoweza kununua kwa bei hii ya leo ni:

⁃Jifunze Kiingereza -  nenda mtabe.co/c/english
⁃Microsoft Excel - nenda  mtabe.co/c/excel
⁃Microsoft Word - nenda  mtabe.co/c/word

Karibu 🚀
Mtabe (@mtabeapp) 's Twitter Profile Photo

Jinsi ya Kucopy Kwenye Microsoft Word. 📹📚Kozi nzima ya Microsoft inapatikana kupitia mtabe.co/c/word. Ni vipindi 15 vya video, na vyote ni 10,000 TZS

Mtabe (@mtabeapp) 's Twitter Profile Photo

In commemoration of Nyerere Day, we reflect on his view on the importance of education in the development and growth of a society. Happy Nyerere Day 🇹🇿

In commemoration of Nyerere Day, we reflect on his view on the importance of education in the development and growth of a society. 

Happy Nyerere Day 🇹🇿
Mtabe (@mtabeapp) 's Twitter Profile Photo

Tumefurahi kutembelewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry Silaa kwenye eneo letu ndani ya JNICC katika Tanzania Annual ICT Conference. Tunashukuru kwa maoni yake na muongozo aliotoa kuhusu huduma za Mtabe 📚

Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Mtabe na CROWN MEDIA tumeanzisha ushirikiano mpya unaolenga kuimarisha elimu na kuwainua vijana na waalimu nchini Tanzania. Ushirikiano huu utatoa maudhui ya elimu kupitia jukwaa la Mtabe na matangazo ya TV na redio za CROWN MEDIA, inayofikia watazamaji katika Afrika

Sahara Consult (@saharaconsult_) 's Twitter Profile Photo

Given Edward, the visionary Founder of MTABE, leveraging emerging technologies to revolutionize learning experiences and empower students. He will pitch his innovative solutions this Demo Day! #EdTechInnovation #DemoDay #StartupPitching

Given Edward, the visionary Founder of MTABE, leveraging emerging technologies to revolutionize learning experiences and empower students.  He will pitch his innovative solutions this Demo Day! 
#EdTechInnovation 
#DemoDay 
#StartupPitching
JESCAH MSAMBATAVANGU (@msambatavanguj) 's Twitter Profile Photo

Utalaumu mfumo mpaka lini? Dunia hii ya utandawazi hili ni swali jepesi mno. Shule binafsi zipo Mitandao ya kijamii ipo Unaweza kufungua tuition centre Unaijua Mtabe ? Unaweza kuwa mwalimu binafsi (private tutoring) Kikubwa kuwa mbunifu na uonyeshe uwezo wako pesa itakujia