Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profileg
Maulid Kitenge

@mshambuliaji

HEAD OF SPORTS WASAFI FM

ID:961928330

linkhttp://maulidkitenge.com calendar_today21-11-2012 07:19:36

54,8K Tweets

1,4M Followers

351 Following

Follow People
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Borussia Dortmund imeingiza mguu mmoja kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Paris Saint German kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali.

🏟️ Signal lduna Park (Dortmund)

FT: Dortmund 🇩🇪 1-0 🇫🇷 PSG
⚽ Fullkrug 36'

Mchezo wa marudiano…

Borussia Dortmund imeingiza mguu mmoja kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Paris Saint German kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali. 🏟️ Signal lduna Park (Dortmund) FT: Dortmund 🇩🇪 1-0 🇫🇷 PSG ⚽ Fullkrug 36' Mchezo wa marudiano…
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wametinga hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB Federation Cup) kufuatia ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya Tabora United katika dimba la Azam Complex, Chamazi.

FT: Yanga SC 3-0 Tabora United
⚽ Azizi Ki 35'
⚽ Musonda 66'
⚽ Guede 83'

Wananchi wametinga hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB Federation Cup) kufuatia ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya Tabora United katika dimba la Azam Complex, Chamazi. FT: Yanga SC 3-0 Tabora United ⚽ Azizi Ki 35' ⚽ Musonda 66' ⚽ Guede 83' #KitengeSports
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

66' GOOOAL Kennedy Musonda anaifungia Yanga Sc bao la pili baada ya nyanda wa Tabora United kuutema shuti maridadi la Joseph Guede

Yanga Sc 2-0 Tabora United

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Takwimu za mchezo wa nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB mpaka mapumziko kati ya Yanga Sc dhidi ya Tabora United katika dimba la Azam Complex Chamazi.

Hakuna timu iliyootea wala mwamuzi hajanyanyua kwapa kutoa kadi yoyote kwa kipindi cha kwanza.

HT: Yanga SC 1-0 Tabora…

Takwimu za mchezo wa nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB mpaka mapumziko kati ya Yanga Sc dhidi ya Tabora United katika dimba la Azam Complex Chamazi. Hakuna timu iliyootea wala mwamuzi hajanyanyua kwapa kutoa kadi yoyote kwa kipindi cha kwanza. HT: Yanga SC 1-0 Tabora…
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wanaelekea mapumzikoni vifua mbele dhidi ya Nyuki wa Tabora United katika dimba la Azam Complex, Chamazi.

HT: Yanga Sc 1-0 Tabora United
⚽ Aziz Ki 35'

Ni katika mchezo wa robo fainali ya kombe la Shirikisho la (CRDB CRDB Federation Cup)

Wananchi wanaelekea mapumzikoni vifua mbele dhidi ya Nyuki wa Tabora United katika dimba la Azam Complex, Chamazi. HT: Yanga Sc 1-0 Tabora United ⚽ Aziz Ki 35' Ni katika mchezo wa robo fainali ya kombe la Shirikisho la (CRDB CRDB Federation Cup) #KitengeSports
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Klabu ya Coastal Union imetinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB Federation Cup) kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold Fc kwenye mchezo wa robo fainali katika dimba la Mkwakwani, Tanga

FT: Coastal Union 1-0 Geita Gold Fc
⚽ Dennis Modzaka 23'…

Klabu ya Coastal Union imetinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB Federation Cup) kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold Fc kwenye mchezo wa robo fainali katika dimba la Mkwakwani, Tanga FT: Coastal Union 1-0 Geita Gold Fc ⚽ Dennis Modzaka 23'…
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Nyota wa klabu ya Simba, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji Nickson Kibabage wa klabu ya Yanga wakati mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya timu hizo uliopigwa Aprili 20, 2024 katika dimba la…

Bango la Chama cha Wafanyakazi cha TALGWU Katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Leo hii Jijini Arusha kwenye Maadhimisho ya Kitaifa✍️

Bango la Chama cha Wafanyakazi cha TALGWU Katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Leo hii Jijini Arusha kwenye Maadhimisho ya Kitaifa✍️ #KitengeUpdates
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Pumzika kwa amani mzee wetu Manoni Godfrey wa round about ya Relwe Club, Dar es Salaam. Ulikuwa mtu mwema sana. Umeumaliza mwendo leo asubuhi baada ya kuugua kwa muda mrefu. Sleep well...Till we meet again 🙏

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema iwapo mfanyakazi atajifungua mtoto au watoto njiti, kipindi cha uangalizi maalum hakitahesabiwa kama likizo ya uzazi, bali likizo ya uzazi itaanza pale mtoto atakapomaliza kipindi cha uangalizi maalum

Mkurugenzi wa Jiji Ilala, RTO - Ilala, TARURA na Mamlaka nyinginezo zinazohusika wameombwa kuondoa kero ya Magari ya Mizigo ambao wamegeuza Maegesho ya Magari hayo kwenye barabara ya Jangwani.

Wakazi wanaotumia barabara hiyo wanasema sasa imekuwa kero kubwa kutokana na Magari…

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Mahakama maalum ya jinai imebainisha kwamba hati hiyo ya Kimataifa ya kukamatwa inalenga uhalifu kama vile mauaji, kutekwa kwa watu,mashambulizi na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Pia Rais huyo wa zamani wa Afrika ya Kati Bw. François…

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Mahakama maalum ya jinai imebainisha kwamba hati hiyo ya Kimataifa ya kukamatwa inalenga uhalifu kama vile mauaji, kutekwa kwa watu,mashambulizi na ukiukwaji wa haki za binadamu. Pia Rais huyo wa zamani wa Afrika ya Kati Bw. François…
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwapungia mkono Wafanyakazi mbalimbali waliojitokeza katika Sherehe za Mei Mosi wakati akiwasili katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani…

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili katika uwanja wa Gombani kwaajili ya Maadhimisho ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) leo tarehe 01 Mei, 2024.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili katika uwanja wa Gombani kwaajili ya Maadhimisho ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) leo tarehe 01 Mei, 2024. #KitengeUpdates
account_circle