Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile
Maulid Kitenge

@mshambuliaji

HEAD OF SPORTS WASAFI FM

ID: 961928330

linkhttp://maulidkitenge.com calendar_today21-11-2012 07:19:36

61,61K Tweet

1,7M Followers

368 Following

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Uganda Yoweri Museveni atawania kuchaguliwa tena katika Uchaguzi wa Januari 2026. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 80 anatazamiwa kuchukua Fomu za uteuzi Jumamosi hii , akilenga kutetea nafasi yake kama Mwenyekiti wa Chama Tawala (NRM ) na kupeperusha bendera ya Chama

Rais wa Uganda Yoweri Museveni atawania kuchaguliwa tena katika Uchaguzi wa Januari 2026.

Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 80 anatazamiwa kuchukua Fomu za uteuzi Jumamosi hii , akilenga kutetea nafasi yake kama Mwenyekiti wa Chama Tawala (NRM ) na kupeperusha bendera ya Chama
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo tarehe 24 Juni, 2025 Maputo, Jamhuri ya Msumbiji ambapo anatarajia kuwa Mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya

Bayern Munich na Benfica zimefuzu kwenda hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia la FIFA ngazi ya klabu, Benfica ikimaliza kileleni mwa Kundi C kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Bayern iliyomaliza nafasi ya pili. Mechi nyingine ya Kundi hilo kati ya Auckland City ya New Zealand dhidi

Bayern Munich na Benfica zimefuzu kwenda hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia la FIFA ngazi ya klabu, Benfica ikimaliza kileleni mwa Kundi C kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Bayern iliyomaliza nafasi ya pili.

Mechi nyingine ya Kundi hilo kati ya Auckland City ya New Zealand dhidi
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan na Rais wa Marekani Donald Trump wamekutana kando ya Mkutano wa NATO unaofanyika The Hague, Uholanzi. Lengo la kikao chao ni kurekebisha uhusiano baina ya Marekani na Uturuki, ambao umekuwa na mvutano kutokana na mabadiliko ya siasa, ununuzi

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan na Rais wa Marekani Donald Trump wamekutana kando ya Mkutano wa NATO unaofanyika The Hague, Uholanzi.

Lengo la kikao chao ni kurekebisha uhusiano baina ya Marekani na Uturuki, ambao umekuwa na mvutano kutokana na mabadiliko ya siasa, ununuzi
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja amekutana na kufanya mazungumuzo na Bw. Martin Herma- wa kwanza toka mbele kusho, mwekezaji wa Miradi ya Biashara ya Kaboni wa Kampuni ya Atmosfair yenye Makao Makuu mjini Berlin, Ujerumani. Mazungumuzo hayo

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja amekutana na kufanya mazungumuzo na Bw. Martin Herma- wa kwanza toka mbele kusho, mwekezaji wa Miradi ya Biashara ya Kaboni wa Kampuni ya Atmosfair yenye Makao Makuu mjini Berlin, Ujerumani. 

Mazungumuzo hayo
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Kiungo wa zamani wa Manchester United na Juventus, Paul Pogba amefikia makubaliano ya kujiunga na klabu ya AS Monaco ya Ufaransa kwa mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027. Pogba (32) raia wa Ufaransa ambaye pia amewahi kuichezea klabu ya Juventus

Kiungo wa zamani wa Manchester United na Juventus, Paul Pogba amefikia makubaliano ya kujiunga na klabu ya AS Monaco ya Ufaransa kwa mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2027.

Pogba (32) raia wa Ufaransa ambaye pia amewahi kuichezea klabu ya Juventus
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Hatimaye Mnyama, Simba Sc amevunja ukimya baada ya kuzua sintofahamu kufuatia ukimya uliotawala kuelekea mchezo wa Dabi ya Kariakoo utakaopigwa leo Juni 25, 2025 saa 11:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa. Mchezo huo wa kufunga rasmi pazia la Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara

Hatimaye Mnyama, Simba Sc amevunja ukimya baada ya kuzua sintofahamu kufuatia ukimya uliotawala kuelekea mchezo wa Dabi ya Kariakoo utakaopigwa leo Juni 25, 2025 saa 11:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa.

Mchezo huo wa kufunga rasmi pazia la Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Vikosi vinavyoanza kwenye Dabi ya Kariakoo kati ya wenyeji, Young Africans Sc dhidi ya Mnyama, Simba Sc katika dimba la Benjamin Mkapa huku Clement Mzize, Clatous Chota Chama na Kibu Dennis wakianzia benchi kwenye timu zao. 🟢 YANGA SC IX: Diarra, Mwenda, Boka, Bacca, Job,

Vikosi vinavyoanza kwenye Dabi ya Kariakoo kati ya wenyeji, Young Africans Sc dhidi ya Mnyama, Simba Sc katika dimba la Benjamin Mkapa huku Clement Mzize, Clatous Chota Chama na Kibu Dennis wakianzia benchi kwenye timu zao.

🟢 YANGA SC IX: Diarra, Mwenda, Boka, Bacca, Job,
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika katika dimba la Benjamin Mkapa, sio wenyeji, Young Africans Sc wala Mnyama , Simba Sc aliyeona lango la mwenzake. Mpaka sasa Wananchi wapo kwenye nafasi nzuri ya kubeba ubingwa wa nne mfululizo kwenye Ligi Kuu bara kama matokeo

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika katika dimba la Benjamin Mkapa, sio wenyeji, Young Africans Sc wala Mnyama , Simba Sc aliyeona lango la mwenzake.

Mpaka sasa Wananchi wapo kwenye nafasi nzuri ya kubeba ubingwa wa nne mfululizo kwenye Ligi Kuu bara kama matokeo
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

63' Moussa Camara anamfanyia madhambi Pacome Zouzoua na Mwamuzi kutoka Misri anaweka penalti... 66' GOOOAL Pacome Zouzoua anaiandikia Yanga Sc bao la uongozi dhidi ya Mnyama Simba Sc katika dimba la Benjamin Mkapa Yanga Sc 1-0 Yanga Sc ⚽ 66' Pacome (P) #KitengeSports

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

86' Clement Mzize anaiandikia Yanga Sc bao la pili dhidi ya Simba Sc katika dimba la Benjamin Mkapa. Yanga Sc 2-0 Simba Sc #KitengeSports

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Ubingwa unanukia kwa Wananchi, Young Africans Sc wakiwa mbele 2-0 dhidi ya Mnyama kwenye Kariakoo Derby. Yanga Sc 2-0 Simba Sc ⚽ 66' Pacome (P) ⚽ 86' Mzize #KitengeSports

Ubingwa unanukia kwa Wananchi, Young Africans Sc wakiwa mbele 2-0 dhidi ya Mnyama kwenye Kariakoo Derby.

Yanga Sc 2-0 Simba Sc
⚽ 66' Pacome (P)
⚽ 86' Mzize

#KitengeSports
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Wananchi, Young Africans Sc wametwaa ubingwa wa Ligi Kuu bara kwa msimu wa nne mfululizo baada ya kuilaza Simba Sc bao 2-0 kwenye mchezo wa kufunga pazia la Ligi hiyo. Simba Sc imetoka 'kapa' kwa msimu wa nne mfululizo kwenye Ligi Kuu huku Wananchi wakitwaa kombe hil kwa mara ya

Wananchi, Young Africans Sc wametwaa ubingwa wa Ligi Kuu bara kwa msimu wa nne mfululizo baada ya kuilaza Simba Sc bao 2-0 kwenye mchezo wa kufunga pazia la Ligi hiyo.

Simba Sc imetoka 'kapa' kwa msimu wa nne mfululizo kwenye Ligi Kuu huku Wananchi wakitwaa kombe hil kwa mara ya
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Kila akihojiwa na Waandishi wa Habari, Mfadhili wa Yanga Ghalib Said Mohamed GSM neno lake moja tu, Yanga Bingwa. Msimu wa nne mfululizo, GSM anaipa raha Yanga. Safari hii anatwaa Ubingwa wa Tanzania Bara kwa kumfunga Mtani wake Simba mabao 2-0. “YANGA BINGWA”-GSM.

Kila akihojiwa na Waandishi wa Habari, Mfadhili wa Yanga Ghalib Said Mohamed GSM neno lake moja tu, Yanga Bingwa.

Msimu wa nne mfululizo, GSM anaipa raha Yanga. Safari hii anatwaa Ubingwa wa Tanzania Bara kwa kumfunga Mtani wake Simba mabao 2-0.

“YANGA BINGWA”-GSM.
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Yanga Sc kwa kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2024/25 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba Sc katika dimba la Benjamin Mkapa. “Pongezi kwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Yanga Sc kwa kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2024/25 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba Sc katika dimba la Benjamin Mkapa.

“Pongezi kwa
Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Watanzania mbalimbali waishio nchini Nigeria wakimpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango wakati alipowasili Abuja nchini Nigeria kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 32 wa