HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile
HustleršŸ‘£

@mrkongajr

Photographer |
Marketing &Sales Analyst |
I help businesses & professionals with effective marketing strategies.

Check on me mrkonga.bio.link

ID: 1543731194734563328

calendar_today03-07-2022 22:59:43

30,30K Tweet

4,4K Followers

3,3K Following

HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Johansen Organic Content Sio Shortcut Kamwe. Inahitaji Uwe Na PASSION Ya Kweli Kufanya Kiasi Mpka Upate Matokeo. Ni Uwekezaji Ambao Ukifanikiwa Unakua Umebeba Jasho , Machungu , Furaha , Uwekezaji Muda Nk. Wengi Wanaacha Mapema.

HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Dunia Ya Sasa Ni Ya Kuachana / Kuepuka Fake Clients Kama Digital Creators Tunapaswa Kuwa Na Mapenzi Na Pesa Sio Engagement Like ,Na "Nakubali Kaka" Haziwezi Kulipa Bills.

HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Pole Na Pokea Ushauri Huu. Kuwepo Kwenye Platform Nyingi (Social Media ) Sio Kigezo Kikuu Cha Kukufanya Uuze. Bali Kuwepo Kwenye Platform Sahihi Zenye Walaji Wa Kile Unachokitoa Ndo Msingi. #UzaNaUelewe

HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Kitabu Cha 50 Cent ,Kina Chapter Inayosema "LEARNING FROM LS (LOSES)" Hii Iweke Kwenye Biashara , Na Maisha Sababu Anayejifunza Kutokana Na Makosa Ni Bora Kuliko Yule Mwenye Wazo Tu Akilini. #UzaNaUelewe

HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Sales Nimejifunza Kuwa MTEJA Anaweza Kuwa Anakataa Kununua Kwasababu Hujamueleza Vyema Au Bado Hajajenga Trust Na Wewe. Usiruke Hatua ..JENGA TRUST THEN UZA. #UzaNaUelewe

HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Mfanyabiashara! Ikiwa Utafanya Kosa La Kuongea Na Mtu Asiye Target Audience Wako Basi HATONUNUA Hata Iweje. Hata Ufanye Kila Kitu Kizuri Hatoona Thamani Ya Bidhaa Wala Ofa Yako Mbele Yake. Attract Walio Sahihi Usiumie Na Hili. #UzaNaUelewe

HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Kitabu Fulani Kiliandika "Ego Or Pride Has Ruined A Lot of People." Ni Kweli , Na Mtu Bora Ni Yule Anayekubali Kuwa Upande Wa Kujifunza Kuliko Ujuaji.

HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Ewe Kijana SALES REJECTION / OBJECTIONS Za Wateja Ni Kuhusu Product Au Service. Hivyo , Wanapokataa Usichukulie Personal Kiasi Ikuumize Na Kukuondoa Confidence. #UzaNaUelewe

HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Soma Hii Taratibu. Wafanyabiashara Wengi Wanapost Bidhaa Bali Sio Kutangaza Bidhaa. Usiwe Moja Ya Wanaofanya Hili KOSA. #UzaNaUelewe

HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Zimbwe Jr Amecomment Mahali Kwa Kusema "Thamani Ya Bidhaa Inatokana Na Location" Hii Ina Funzo Kubwa Kwenye Upande Wa Sales & Marketing. Usishangae Product Moja Ila Inauzwa Price Tofauti Kwenye Maeneo Mbalimbali. #UzaNaUelewe

HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Ripoti Ya TCRA inasema kuna ongezeko la idadi ya watumiaji wa internet. Hii ni ishara ya fursa zaidi katika kuwekeza nguvu na ubunifu katika kusaka wateja mitandaoni. #UzaNaUelewe

HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Watumiaji Wa Simu Janja Ni Asilimia 37% Kulingana Na Watumiaji Wa Simu Rununu (Viswaswadu) Hii Ni Ishara Soko La Simu Janja Bado Lipo Lipo Sana. Source: TCRA

HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Nakumbusha Kupata Mteja Mpya Ni NGUMU & GHARAMA Kuliko Kumrudisha Aliyekuwepo. Hivyo Hifadhi DATA Za Wateja Wako. #UzaNaUelewe

HustleršŸ‘£ (@mrkongajr) 's Twitter Profile Photo

Wanangu Wa Graphics Pita Pale Instagram ,Angalia Pages Za Biashara Kisha Reach Out Kuwaambia Makosa Yao Na Namna Unaweza Kuimprove. Wape Bei , Mwenye Uhitaji Mgeuze Kuwa Mteja. #UzaNaUelewe