Mrisho Gambo (@mrishogambo) 's Twitter Profile
Mrisho Gambo

@mrishogambo

Member of Parliament - Arusha Urban Constituency , MBA-ITM

ID: 291054744

calendar_today01-05-2011 11:50:27

1,1K Tweet

5,5K Followers

65 Following

Mrisho Gambo (@mrishogambo) 's Twitter Profile Photo

Leo nimeonana na Profesa Janab Mkoani Dodoma. Nimempongeza kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa. Hii ni sababu nyingine ya Bunge kumpa TUZO Rais Samia Kama miongoni mwa wanadiplomasia bora Duniani!

Leo nimeonana na Profesa Janab Mkoani Dodoma. Nimempongeza kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa. 

Hii ni sababu nyingine ya Bunge kumpa TUZO Rais Samia Kama miongoni mwa wanadiplomasia bora Duniani!
Mrisho Gambo (@mrishogambo) 's Twitter Profile Photo

Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Kisasa wa SAMIA kwenye Mtaa wa Mirongoine kata ya Olmot Jijini Arusha Umefika 42%. Uongozi unaoacha Alama!

Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Kisasa wa SAMIA kwenye Mtaa wa Mirongoine kata ya Olmot Jijini Arusha Umefika 42%.

Uongozi unaoacha Alama!