therealben🤓 (@mrbenpeter) 's Twitter Profile
therealben🤓

@mrbenpeter

Mazoezi ni Afya || @SimbaSCTanzania

ID: 1595793950778048512

linkhttps://youtu.be/POcqefMhywA calendar_today24-11-2022 14:58:33

36,36K Tweet

3,3K Followers

2,2K Following

Eagle's Eye (@eagleseye02) 's Twitter Profile Photo

Hello Dears ♥️ Ukubwa wa Mungu hauna mipaka hivyo usimwekee Mungu mipaka kwa yale mambo ambayo yamekua magumu kwako huoni solution Hakuna linalo mshinda Mungu Mshukuru kwa uhai then mwamini kwa yale yaliyo kushinda AMANI IWE NANYI NAWAPENDA WOTE 🙏♥️

Hello Dears ♥️ Kitu chochote kisikufanye uache kumwabudu Mungu acha chochote anacho hitaji Mungu uache kwaajili yake ili uweze kumwabudu utaishi maisha ya Amani yenye Utulivu na Baraka Nyingi IWE SIKU NJEMA KWAKO MUNGU AKULINDE NAWAPENDA WOTE 🤗🥰♥️

Hello Dears♥️ Mungu ametubariki na week nyingine tumshukuru🙏Dua yetu ni ile ile atufanikishe katika mipango yetu yote ya halali🙏Mungu azibariki kazi za mikono yetu na mkono wake usitunyime riziki🙏 Ulinzi wake uwe kinga yetu dhidi ya hatari zote🙏AMANI IWE NANYI🙏♥️

therealben🤓 (@mrbenpeter) 's Twitter Profile Photo

Usijee ukafikiri kumuacha Mungu, hata kama umeumizwa na maisha/ unapitia changamoto nyingi kwenye maisha. Mungu ni mwema na atakusaidia na siku Moja utatabasamu. Good morning everyone 🌅🌅🌅🌅

Eagle's Eye (@eagleseye02) 's Twitter Profile Photo

Hello Dears ♥️ Mungu ametubariki na week nyingine tumshukuru 🙏 Baraka yetu ya kwanza ni kuwa hai tuitumie baraka hii ya uhai kuzitafuta baraka zetu nyingine kwa kazi za mikono yetu na Mungu akujalie kuona matunda ya kazi zako 🙏 Mungu awalinde week hii tena 🙏♥️

Batuli Actress (@batuli_actress) 's Twitter Profile Photo

Hakikisha Una Mtu Ambae Anasikia Sauti Ambayo Ipo Ndani Yako Na Kuielewa, Awe Karibu Yako Au Mbali Lazima Asikie Sauti Yako Ndani Yake, MUNGU Bariki Watu Sahihi Kwenye Maisha Yetu……..✍🏽

Kama Unaweza Kuziamrisha Mali Zako Na Kuwa Vile Unavyotaka Wewe Unaezimiliki Basi Wewe Ni Tajiri Tena Mwenye Uhuru Ila Kama Mali Zako Zinakuamrisha Na Kukupelekesha Hadi Kubadilika Na Kuwa Mtu Tofauti Basi Tambua Kuwa Wewe Ni Masikini Kweli Kweli……..✍🏽