Rais Samia Suluhu Hassan amejidhihirisha si tu kama kiongozi wa nchi, bali mlezi wa haki anayeweka mazingira rafiki ya kila Mtanzania kupata haki kwa usawa.
#mslac #Kazinaututunasongambele #katibanasheria #ikulumawasiliano
Tanzania Yafanikisha na Kuvuka Malengo Katika Sekta ya Utalii (2021-2024)
Sekta ya utalii nchini Tanzania imefikia na hata kuvuka malengo yaliyowekwa kwa kipindi cha mwaka 2021 hadi 2024, hatua inayodhihirisha mafanikio makubwa chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia