Dr. Mianguko (PhD Causa) (@mpoyoki) 's Twitter Profile
Dr. Mianguko (PhD Causa)

@mpoyoki

Tuko Majaribuni kwa Shetani

ID: 336616362

linkhttp://mesatnet.tripod.com calendar_today16-07-2011 16:11:15

20,20K Tweet

2,2K Takipçi

4,4K Takip Edilen

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

AGENDA ZA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM UTAKAOFANYIKA TAREHE 29-30 MEI- DODOMA CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kufanya Mkutano Mkuu wa Taifa, Mei 29 na 30 mwaka huu, jijini Dodoma ambao utakuwa na ajenda kuu tatu ikiwemo kupokea taarifa ya Utekelezaji Ilani ya Uchaguzi

Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

Kila mmoja mwenye sifa ahakikishe amejiandikisha na ameboresha taarifa zake katika Daftari la Kuduma la Mpigakura. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Basi wasomaji wa kote kwenye subscription channel na kwenye Mange Kimambi App wote wameniamuru content hii ije kwenye public sababu ni public interest. . Hii ni list ya mwezi April 2025 ya transfer viwanja vinavyotakiwa kubadilishwa majina kwa wamiliki wapya. Yani mtu akininua

Basi wasomaji wa kote kwenye subscription channel na kwenye Mange Kimambi App  wote wameniamuru content hii ije kwenye public sababu ni public interest.
.

Hii ni list ya mwezi April 2025 ya transfer viwanja vinavyotakiwa kubadilishwa majina kwa wamiliki wapya. Yani mtu akininua
Shija S.S.Shibeshi (@shijashibeshi) 's Twitter Profile Photo

🚨Je WEWE ni MKATOLIKI❓ Na Huko Mmesomewa WALAKA Huu wa Leo JUMAPILI Mai,18,2025? NAAMBIWA Walaka huu umesomwa Katika Parokia ya Mvomero. Pia copy zimesambazwa vigango na jumuiya zote za Parokia ya Mvomero. REPOST tupate ukweli huku nikitafuta mawasiliano zaidi.

🚨Je WEWE ni MKATOLIKI❓ Na Huko Mmesomewa WALAKA Huu wa Leo JUMAPILI Mai,18,2025?
NAAMBIWA Walaka huu umesomwa Katika Parokia ya Mvomero.
Pia copy zimesambazwa vigango na jumuiya zote za Parokia ya Mvomero.
REPOST tupate ukweli huku nikitafuta mawasiliano zaidi.
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Hali ya shangwe na furaha imetawala katika ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwasalimia Watu na Wafuasi wake waliofika Mahakamani hapo. Lissu alisikika akisema ‘No reform, No Election’ akiwa kizimbani tayari kwa ajili ya

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Kidikteta uchwara chetu kimeanza kuota pembe, imagine kina audacity ya kutuambia watu kutekwa, kuaawa, kufungwa kwa makosa ya kupakaziwa, na ubakaji wote wa haki za binadamu, ni “mambo yetu ya ndani.” Wakati huo huo kila kinaongoza taifa lililoratify mkataba wa kimataifa wa haki

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Nimesikia kauli ya Rais leo, kwa masikitiko makubwa niseme, Kuteka watu, kuua watu na kuwapa watu kesi za uongo sio mambo ya ndani ya Nchi. Dunia hii haiwezi kunyamazia uovu na matendo ya kidhalimu, Dunia haikunyamazia uovu wa makaburu kule Afrika kusini. Dunia haitanyamaza

MwanzoTV (@mwanzotv) 's Twitter Profile Photo

#KENYA: VIJANA WAANDAMANA UBALOZI WA TANZANIA NAIROBI KUPINGA KUFURUSHWA KWA WAKENYA Wanaharakati wameandamana hadi katika afisi za Ubalozi wa Tanzania hapa jijini Nairobi wakilalamikia kukamatwa na kuhangaishwa kwa wanaharakati wa humu nchini waliokamatwa na kuzuiliwa katika

Dr. Mianguko (PhD Causa) (@mpoyoki) 's Twitter Profile Photo

Mpumbavu Chief godlove ukilewa harufu ya vinywaji badala ya vinywaji vyenyewe hutafuti mpishi, utasifia pombe. Nyumba gani zaidi ya ile ya MLEVI ilipata wasuluhishi kutoka nje ikasema "Niachie Niue ni watu wangu?". Hivi NYANYA anajiona na MISIFA?!

Mpumbavu <a href="/chiefgodlove1/">Chief godlove</a> ukilewa harufu ya vinywaji badala ya vinywaji vyenyewe hutafuti mpishi, utasifia pombe. Nyumba gani zaidi ya ile ya MLEVI ilipata wasuluhishi kutoka nje ikasema "Niachie Niue ni watu wangu?". Hivi NYANYA anajiona na MISIFA?!