Mponda Sabinus (@mpondasabinus) 's Twitter Profile
Mponda Sabinus

@mpondasabinus

Mkulima Mdogo Wa Mahindi, Kahawa Mbinga Ruvuma.

ID: 1173630570468925440

calendar_today16-09-2019 16:13:09

99,99K Tweet

100,100K Takipçi

780 Takip Edilen

Mponda Sabinus (@mpondasabinus) 's Twitter Profile Photo

Hizi changamoto anapitia Mkulima Daud mahindi yake kuoza uko Madaba Songea kutokana na mvua kuendelea kunyesha izi changamoto mdau wa kilimo hawezi kukuambia hizi utaambiwa na field tu.

Hizi changamoto anapitia Mkulima <a href="/mathiasdaud751/">Daud</a> mahindi yake kuoza uko Madaba Songea kutokana na mvua kuendelea kunyesha izi changamoto mdau wa kilimo hawezi kukuambia hizi utaambiwa na field tu.
#FarmingWithShana (@new_shana) 's Twitter Profile Photo

lol I don’t what I did for my guy to point at me like that😩😭 probably I was talking too much😄😂😩 Aaagh man I love visiting farmers that believed in me!!! The green gold!!! Sugarbeans!! 😌

lol I don’t what I did for my guy to point at me like that😩😭 probably I was talking too much😄😂😩

Aaagh man I love visiting farmers that believed in me!!! 

The green gold!!! Sugarbeans!!  😌
Radio Maria Tanzania (@radiomariatz) 's Twitter Profile Photo

MISA TAKATIFU, UFUNGUZI WA KUMCHAGUA PAPA MPYA Asubuhi ya kuanza kwa mkutano wa uchaguzi wa Papa (Conclave), Kadinali Giovanni Battista Re, aliongoza Misa kwa ajili ya Uchaguzi wa Askofu wa Roma, iliyoadhimishwa pamoja na Makadinali na waamini zaidi ya elfu tano

MISA TAKATIFU, UFUNGUZI WA KUMCHAGUA PAPA MPYA
Asubuhi ya kuanza kwa mkutano wa uchaguzi wa Papa (Conclave), Kadinali Giovanni Battista Re, aliongoza Misa kwa ajili ya Uchaguzi wa Askofu wa Roma, iliyoadhimishwa pamoja na Makadinali na waamini zaidi ya elfu tano
A.M (@masuba___) 's Twitter Profile Photo

Eka ya maharage pata hata gunia 5 uza debe gunia bei nzuri 210kx5=1,050M Lima mahindi vuna gunia 25 tu x70k=1,770M Bajeti zake field tofauti ndogo, Maharage soko chaap Mahindi 50/50 So kupanga ni kuchagua

Jason J. Kanan (@jason_kanani) 's Twitter Profile Photo

Kwamujibu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo TARI Tanzania official page, kuna Mbegu 15 zilizoboreshwa za Karanga zinazolimwa hapa nchini 🇹🇿 ambazo ni; Nyota 1983, Johari 1985, Pendo 1998, Sawia 1998, Mnanje 2009, Naliendele 2009, Mangaka 2009, Nachingwea 2009, Masasi 2009》》》 📸 Mponda Sabinus

Kwamujibu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo <a href="/TanzaniaTari/">TARI Tanzania official page</a>, kuna Mbegu 15 zilizoboreshwa za Karanga zinazolimwa hapa nchini 🇹🇿 ambazo ni; Nyota 1983, Johari 1985, Pendo 1998, Sawia 1998, Mnanje 2009, Naliendele 2009, Mangaka 2009, Nachingwea 2009, Masasi 2009》》》
📸 <a href="/MpondaSabinus/">Mponda Sabinus</a>
AGR. Boniphace Mwanje (@pembejeo_agric) 's Twitter Profile Photo

Tomato #EBON F1….. Nyanya yenye UZAO mwingi na haipatwi na Magonjwa ya Minyauko….. Ukiinyima Miti itazaa, ila ukiipa Miti yaani ukiisimamisha ITAZAA Zaidi… Tomato #EBON F1. ☎️0688308804.

Tomato #EBON F1…..
Nyanya yenye UZAO mwingi na haipatwi na Magonjwa ya Minyauko…..
Ukiinyima Miti itazaa, ila ukiipa Miti yaani ukiisimamisha ITAZAA Zaidi…

Tomato #EBON F1.
☎️0688308804.
A.M (@masuba___) 's Twitter Profile Photo

Hii bei ya Mpunga (Mbarali~Mbeya) mwaka huu inaleta raha na karaha: ~ mwekezaji ananunua mpunga kg 1 sh 1000 to 1200 ~Wapemba na sisi Ma botha tunanunua mpunga debe 16k to 17k ~Mashineni kg mchele super 2300 na mchele masuto kg sh 1900,

Hii bei ya Mpunga (Mbarali~Mbeya) mwaka huu inaleta raha na karaha:

~ mwekezaji ananunua mpunga kg 1 sh 1000 to 1200

~Wapemba na sisi Ma botha tunanunua mpunga debe 16k to 17k

~Mashineni kg mchele super 2300 na mchele masuto kg sh 1900,