Mozzart Bet Kenya (@mozzartbetkenya) 's Twitter Profile
Mozzart Bet Kenya

@mozzartbetkenya

Register: sms WIN to 29990
Deposit: Mpesa PayBill 290059
Call us: 0709168000
WhatsApp: 0713665355
Strictly 18+
Play responsibly.

ID: 931466455060762624

linkhttp://www.mozzartbet.co.ke calendar_today17-11-2017 10:18:03

30,30K Tweet

16,16K Takipçi

325 Takip Edilen

Mozzart Bet Kenya (@mozzartbetkenya) 's Twitter Profile Photo

Hugo Ekitike atajiunga na Liverpool kwa kitita cha Euro milioni 95 anatarajiwa kutia sahihi mkataba wa miaka 6. Ekitike atawafungia Liverpool magoli mangapi msimu ujao?

Hugo Ekitike atajiunga na Liverpool kwa kitita cha Euro milioni 95 anatarajiwa kutia sahihi mkataba wa miaka 6. 

Ekitike atawafungia Liverpool magoli mangapi msimu ujao?
Mozzart Bet Kenya (@mozzartbetkenya) 's Twitter Profile Photo

Harambee Stars wamejiondoa kwenye mashindano ya CECAFA FOUR NATIONS Tournament. Kikosi hicho kinatarajiwa kurejea nchini kujiandaa kwa michuano ya CHAN 2024.

Sasa ni rasmi Viktor Gyökeres atajiunga na Arsenal hii ni baada ya Sporting na Arsenal kuafikiana. Gyökeres atatia sahihi mkataba wa miaka 5.

Sasa ni rasmi Viktor Gyökeres atajiunga na Arsenal hii ni baada ya Sporting na Arsenal kuafikiana.

Gyökeres atatia sahihi mkataba wa miaka 5.
Mozzart Bet Kenya (@mozzartbetkenya) 's Twitter Profile Photo

Mkufunzi wa Kakamega Homeboyz Francis Baraza ameondoka Kakamega Homeboyz baada ya mkataba wake kutamatika. Amejiunga na Pamba Jiji FC ya Tanzania.

Cheza ki wewe uvune vinofu. Milioni mia mbili ya waniwa kila wiki, stake ni 50 bob tu! mozzartbet.co.ke/en#/jackpot/we… #jackpot

Cheza ki wewe uvune vinofu. Milioni mia mbili ya waniwa kila wiki, stake ni 50 bob tu! 

mozzartbet.co.ke/en#/jackpot/we…

#jackpot
Mozzart Bet Kenya (@mozzartbetkenya) 's Twitter Profile Photo

Brann watakabana koo na Salzburg kwenye mchuano wa kufuzu Klabu Bingwa Uropa. Mwenye atatamba ama mgeni ataleta hasara? Usicheze Chini! #ChampionsLeague

Brann watakabana koo na Salzburg kwenye mchuano wa kufuzu Klabu Bingwa Uropa. Mwenye atatamba ama mgeni ataleta hasara? 

Usicheze Chini!

#ChampionsLeague
Mozzart Bet Kenya (@mozzartbetkenya) 's Twitter Profile Photo

Sasa ni rasmi Marcus Rashford amejiunga na Barcelona kwa mkopo kutoka Manchester United. Rashford atakuwa Barcelona hadi mwisho wa Juni 2026.

Sasa ni rasmi Marcus Rashford amejiunga na Barcelona kwa mkopo kutoka Manchester United. Rashford atakuwa Barcelona hadi mwisho wa Juni 2026.