📍Kilwa
Ukiwa kama mwandamu usiogope Kifo kwa sababu ni wajibu, ila boresha Nafsi yako na tenda wema, ishi kwa upendo acha dhulma ya aina yeyote ile ili kifo kinapokuja uondoke Vizuri hapa Duniani.
#mega #climber
Majirani 🇰🇪 washa anza kurogwa na mchina ilikua Swala la muda ,,, na zile gonga nyundo zao wakikutana na Tv Nchi 32 ya Mega hawata chomoka hapa amini nawaambia KDU 444L&M