MNH-Mloganzila (@mloganzila_) 's Twitter Profile
MNH-Mloganzila

@mloganzila_

Karibu katika ukurasa rasmi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili _Mloganzila.

ID: 1232661375857680384

linkhttps://www.mloganzila.or.tz/https://youtube.com/@MNH-MLOGANZILATV?feature=shareb calendar_today26-02-2020 13:39:22

1,1K Tweet

3,3K Followers

21 Following

MNH-Mloganzila (@mloganzila_) 's Twitter Profile Photo

Naibu Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili -Mloganzila Dkt. Julieth Magandi amesema uwepo wa mifumo thabiti ya Tehama umechochea kuimarika na kuboreka kwa huduma zinazotolewa na hospitali hiyo.

Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imepokea msaada wa kifaa maalum kinachotumika kufanya upasuaji wa tumbo kwa njia ya matundu madogo (Retractor for Abdominal Insufflation) kutoka Taasisi ya Loresa ya nchini Uholanzi.

Kwa mara ya kwanza wataalam wazawa Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila wamefanya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye pafu la mgonjwa kwa njia ya matundu madogo (Thoracoscopy).

Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila Dkt. Godlove Mfuko amesema maandalizi ya huduma ya ubingwa bobezi ya upandikizaji wa marejeo nyonga na magoti (revision) unaotarajiwa kufanyika kuanzia Aprili 14 hadi 17, 2025 yamekamilika.

Naibu Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila Dkt. Julieth Magandi amekutana na kufanya mazungumzo na timu ya wataalam kutoka China ikiongozwa na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Kubadilisha Viungo ikiwemo nyonga,magoti,mabega, na visigino,Prof. Li Wei mapema leo

Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji wa marejeo wa nyonga na magoti kwa wagonjwa takribani saba waliokuwa na changamoto mbalimbali za nyonga na magoti walizopandikizwa awali.

Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga &Mloganzila) imezindua kamati ya uratibu wa shughuli za damu katika hospitali hiyo yenye jukumu kuu la kuratibu upatikanaji, uchakataji na matumizi sahihi ya damu kwa wagonjwa.

Katika kusheherekea Siku ya Wafanyakazi Duniani, Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila wamefanya matembezi mafupi na kutoa zawadi ya vitu mbalimbali kwa watoto wachanga wanaohudumiwa hospitalini hapo.

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Lazaro Twange ametembelea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila kwa lengo la kujitambulisha na kupata taarifa ya utendaji kazi wa hospitali hiyo ambayo inapatikana wilaya ya Ubungo.

Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila Dkt. Debora Bukuku amesema uuguzi ni sekta muhimu katika utoaji wa huduma za afya nchini na kuwaasa watumishi wa hospitali hiyo kuendelea kufanya kazi kwa weledi, bidii na kujituma zaidi.

Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila umemkamata Bw. David Mhame mkazi wa Yombo Kilakala Dar es salaam na kumpeleka Kituo cha Polisi Salender Bridge kwa tuhuma za kutapeli wagonjwa na ndugu wa wagonjwa wanaofika hospitalini hapo kwa huduma mbalimbali.

Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila umekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi kwa lengo la kujadili maeneo ya kubadilishana uzoefu hususani katika eneo la huduma za upasuaji na matibabu ya ubingwa bobezi.

Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa mara nyingine imefanya upasuaji wa marejeo wa kupandikiza nyonga na magoti kwa wagonjwa wawili.

Watumishi wapya Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila wametakiwa kufanya kazi kwa umoja na kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma yanayowaongoza na kutoa huduma bora kwa wateja wanaofika kupata huduma hospitalini hapo.

Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini kwa kutumia wataalam wazawa imefanya huduma ya ubingwa bobezi ya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye utumbo mpana kwa kutumia matundu madogo (lapascopic lower anterior resection) kwa mgonjwa aliyekuwa na changamoto hizo.