Joseph Mlay (@mlayjoseph) 's Twitter Profile
Joseph Mlay

@mlayjoseph

Economist | Enterpreneur | UDSM Alumni |

ID: 1867278212

calendar_today15-09-2013 10:55:07

38 Tweet

74 Followers

101 Following

Joseph Mlay (@mlayjoseph) 's Twitter Profile Photo

Habari, Huduma zenu tawi la Livingstone Mbeya Mwanjelwa sokoni ni mbovu, mtoa huduma (teller) ni mmoja tu madirisha mengine hamna teller, huu ni ujinga kwa benki kubwa kama hii kuwa na huduma za hovyo. Mjirekebishe, kama hamuwezi fungeni hili tawi.CRDB Bank PLC

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kukamatwa Soka siku kadhaa, kuna line yake moja ya Tigo ilianza kusambaza hizi jumbe kwa watu waliokuwa wanajuana na Soka. Huu ni ushahidi Mwingine wa hii kampuni kutumika na WATEKAJI kutumaliza Watanzania. Siku zenu mpaka sasa zinahesabika. Siri zetu ngapi mmewapa

Baada ya kukamatwa Soka siku kadhaa, kuna line yake moja ya Tigo ilianza kusambaza hizi jumbe kwa watu waliokuwa wanajuana na Soka.

Huu ni ushahidi Mwingine wa hii kampuni kutumika na WATEKAJI kutumaliza Watanzania.

Siku zenu mpaka sasa zinahesabika. Siri zetu ngapi mmewapa
Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

SHERIA: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu amesema amemuelekeza Mwanasheria wake Bob Amsterdam kuanza taratibu za kuishtaki Kampuni ya Millicom iliyokuwa Kampuni Mama Mtandao wa Simu wa tiGO na Serikali ya Tanzania kwa madai ya kuhusika na jaribio la mauaji dhidi yake

MwanzoTV (@mwanzotv) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: Tanzanian opposition figure Tundu Lissu said Wednesday that he was suing the government and the telecommunications firm Tigo over a 2017 assassination attempt.

#TANZANIA: Tanzanian opposition figure Tundu Lissu said Wednesday that he was suing the government and the telecommunications firm Tigo over a 2017 assassination attempt.
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 10 Anaendelea Tundu Lissu Nilishiriki pia katika Bunge maalumu la Katiba la mwaka 2014 na 2015 nikawa mbunge pia. Nilitumikia nafasi hiyo sikumalizia Tarehe 07/09/2017 nilishambuliwa kwa risasi nyingi na kupelekwa nje kwa matibabu nikafutiwa

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 11, Anaendelea Mhe. Lissu Sasa naomba nizungumzie kesi yenyewe sasa. Kwa kuanzia baada ya kusikiliza information ilivyosomwa yote baada ya kusoma haya maelezo yote. Cha kwanza ninachoweza kusema ni kwamba Hapa hakuna uhaini. Pili hapa

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Today starting now we proclaim #IAmTunduLissu - a campaign demanding justice for Lissu! We demand that Mahakama ya Tanzania present him immediately in court after the formal committals! Tundu Antiphas Lissu demanded electoral reforms and he is now unfairly charged with treason #FreeTunduLissu

Today starting now we proclaim #IAmTunduLissu - a campaign demanding justice for Lissu!
We demand that <a href="/judiciarytz/">Mahakama ya Tanzania</a> present him immediately in court after the formal committals! 
<a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> demanded electoral reforms and he is now unfairly charged with treason 
#FreeTunduLissu