Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile
Mkombozi Digital

@mkombozihabari

Pokea kwa haraka Habari zote , Siasa | Michezo | Burudani | Za Kijamii na Vipindi Mbali mbali
Kazi za matangazo Wasiliana nasi 0753714810 WhatsApp only 24 hours

ID: 116781211

linkhttps://www.youtube.com/live/GYWMotMOPE4?si=qbNhMWXJWzxFN66e calendar_today23-02-2010 15:13:37

54,54K Tweet

267,267K Followers

0 Following

Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile Photo

Allianz Arena, Munich na @Eng.Hersi Said ndio tunaingia kushuhudia Ndoo ya Ulaya ikibebwa leo ama na PSG au Inter Milan. Rais wa Mpira kaja kushuhudia Mpira Ulaya.

VIDEO: Video iliyozua gumzo mitandaoni kwenye Shughuli ya msanii wa bongo fleva Jux na mkewe, msanii wa bongo fleva Diamond ameshindwa kumpa mkono msanii wake wa zamani Rayvanny kwenye Shughuli hiyo. Maoni yamekuwa tofauti tofauti Je wewe unaona ni sawa.?

Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Kiungo Mshambuliaji wa zamani wa Dar young Africans, Stephen Aziz Ki kusajili na Klabu ya Wydad,kwenye mitandaoni ya Kijamii kumekuwa na maoni mbalimbali. Maoni - Mashabiki wa Yanga wanatamani kununua jezi za Wydad, ila tatizo rangi. Nikweli Rangi ya Jezi inazua utata.

Baada ya Kiungo Mshambuliaji wa zamani wa Dar young Africans, Stephen Aziz Ki kusajili na Klabu ya Wydad,kwenye mitandaoni ya Kijamii kumekuwa na maoni mbalimbali.

Maoni - Mashabiki wa Yanga wanatamani kununua jezi za Wydad, ila tatizo rangi.

Nikweli Rangi ya Jezi inazua utata.
Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche ameitembelea familia ya aliyekuwa kiongozi na kada wa chama hicho, marehemu Ally Kibao baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Tanga.Kushoto ni mtoto wa marehemu Tariq Kibao akitoa neno la shukrani.

#TESISI Mchezaji wa Mamelodi Themba Zwane anaweza kutua ndani ya Klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba, kama Mazunguko yakizungumzwa na kukubalina pande Zote mbili. Unamkumbwa huyu mwamba anafaa kucheza pamoja na Elie Mpanzu

#TESISI

Mchezaji wa Mamelodi Themba Zwane anaweza kutua ndani ya Klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba, kama Mazunguko yakizungumzwa na kukubalina pande Zote mbili.

Unamkumbwa huyu mwamba anafaa kucheza pamoja na Elie Mpanzu
Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile Photo

KUFUNGWA KWA SHUGHULI ZA KANISA LA GLORY OF CHRIST CHURCH - KANISA LA UFUFUO NA UZIMA Chini ya Kifungu cha 17(b) na kifungu cha 2 cha Sheria ya Jumuiya Sura ya 337 kama kilivyorekebishwa na kifungu cha 39(b) cha Sheria ya Marekebisho Mbalimbali ya Sheria Namba. 3 ya Mwaka 2019

KUFUNGWA KWA SHUGHULI ZA KANISA LA GLORY OF CHRIST CHURCH - KANISA LA UFUFUO NA UZIMA

Chini ya Kifungu cha 17(b) na kifungu cha 2 cha Sheria ya Jumuiya Sura ya 337 kama kilivyorekebishwa na kifungu cha 39(b) cha Sheria ya Marekebisho Mbalimbali ya Sheria Namba. 3 ya Mwaka 2019
Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile Photo

Askofu Gwajima, Kupitia mitandao ya kijamii @bishopgwajima ameandika 👇 Karibu sana utazame lbada yetu ya Mfungo maalum wa kuliombea Taifa letu Tanzania. Unaweza kutizama Ibada hii kupitia link iliyo kwenye Bio yangu hapo juu. Tanzania ni yetu sote!

Askofu Gwajima,
Kupitia mitandao ya kijamii @bishopgwajima ameandika 👇

Karibu sana utazame lbada yetu ya Mfungo maalum wa kuliombea Taifa letu Tanzania. Unaweza kutizama Ibada hii kupitia link iliyo kwenye Bio yangu hapo juu. Tanzania ni yetu sote!
Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Baada ya kusambaa kwa taarifa za kutwatu wasajili wa kanisa la ufufuo na uzima kiongozi wa kanisa hilo Askofu Josephat Gwajima amekanusha taarifa hizo.

Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Maoni ya Mashabiki wa simba kupitia mitandao ya Kijamii, baadhi yameomba kurudishwa Kwa Mlinda mlango Lakred kama Simba Air Manula anaondoka kama bado yupo inabidi hapatikane msaidizi wa Camara misimu ujao. Je unaona ni Muda sahihi Simba kumrejesha Lakred Langoni.

Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile Photo

Baada ya kusambaa kwa Barua mitandaoni iliyodaiwa kuwa imetoka kwa Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa ikihusu kufungia shughuli za Kanisa la Ufunuo na Uzima, Askofu Gwajima, amesema kuna Mtu amefika Kanisani hapo kwa lengo la kuleta barua jioni ya leo Juni 2, 2025

VIDEO: Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema [ @godblessjlema1 ] ametoa utabiri wake baada ya kufutwa usajili wa kanisa la ufufuo na uzima linaloongozwa na askofu Josephat Gwajima.

Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile Photo

Pichani ni kiongozi aliyewai pita kwenye vilabu mbalimbali vya soka hapa Nchini,pamoja na mchezaji aliyewika na Klabu ya Simba Kwa nyakati hizo. Je umeweza kuwatambua Kwa majina na Nafasi zao.!

Pichani ni kiongozi aliyewai pita kwenye vilabu mbalimbali vya soka hapa Nchini,pamoja na mchezaji aliyewika na Klabu ya Simba Kwa nyakati hizo.

Je umeweza kuwatambua Kwa majina na Nafasi zao.!
Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wakiwa kwenye hali ya Mvua wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wao Heche, video hii imezua gumzo kwenye mitandaoni ya Kijamii.

Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Kwaya Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kimara wakati ikiimba kwenye Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizingumza Kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Kitopeni, Bagamoyo kilicho chini ya kanisa la KKKT amepongeza juhudi zilizofanywa na kanisa la KKKT.

Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile Photo

Pichani ni kocha mkuu wa Klabu ya Simba Fadlu akitazama Muda wake kwenye matukio mbalimbali ya michezo ya Simba inapokuwa uwanjani. June 15 Simba itashuka dimbani kucheza na Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu NBC, hadi sasa Yanga inadaiwa kutocheza kwasababu zao binafsi.

Pichani ni kocha mkuu wa Klabu ya Simba Fadlu akitazama Muda wake kwenye matukio mbalimbali ya michezo ya Simba inapokuwa uwanjani.

June 15 Simba itashuka dimbani kucheza na Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu NBC, hadi sasa Yanga inadaiwa kutocheza kwasababu zao binafsi.
Mkombozi Digital (@mkombozihabari) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye mahitaji Maalum cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Centre kwenye hafla iliyofanyika Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam