Mkoloni (@mkolonib) 's Twitter Profile
Mkoloni

@mkolonib

@ChelseaFC
@SimbaSCTanzania
.
.
A BISNNESS -MAN
#Lowlifelifted
Cc @Mkolonioutfits

ID: 1255874011663339520

calendar_today30-04-2020 14:58:12

37,37K Tweet

12,12K Followers

10,10K Following

แดนแต– ๐Ÿ’Ž (@bojaniii) 's Twitter Profile Photo

Wajinga hudhani ๐Ÿ‘‰sisi kurepost post Zao ni WAJIBUย  ๐Ÿ‘‰Wao kurepost zetu wanachafua Brandi ๐Ÿ‘‰Napenda Wazarendo Wenzangu "Mute button alerts"

Wajinga hudhani 
๐Ÿ‘‰sisi kurepost post Zao ni WAJIBUย  
๐Ÿ‘‰Wao kurepost zetu wanachafua Brandi
 ๐Ÿ‘‰Napenda Wazarendo Wenzangu
           "Mute button alerts"
Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Ni siku moja toka nimepost hii Dalili zimeanza kuonekana jana watu wamepiga Millions acha tusubiri mpaka weekend. ๐Ÿค๐Ÿค

Ni siku moja toka nimepost hii Dalili zimeanza kuonekana jana watu wamepiga Millions acha tusubiri mpaka weekend. ๐Ÿค๐Ÿค
MUDI FOOD FACTORY (@mudimabiriani) 's Twitter Profile Photo

Sinaga utani kwenye Biashara utaongea tu vizuri mahakamani mbele ya hakimu na wanasheria utawajibu kwanini ulipost hiki na huyo anayenidai kwanini asiende POLISI kama ananidai au Sinza mori hapajui Chura mwaka huu utaitwa PAKA sio chura tena mark my words siku ya leo tamu sana

Mudryk Jr (@mudryk_jr) 's Twitter Profile Photo

๐—ช๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ก๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ฅ๐—˜๐—ง๐—ช๐—˜๐—˜๐—ง ๐—ญ๐—ฒ๐—ป๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ. Karibu Maasai Herbal Clinic โ€“ Kituo chako cha tiba za asili na afya bora! Tunakuletea dawa za asili zilizotengenezwa kwa kutumia mimea ya kitamaduni na tiba za kiasili za Kimasai zinazojulikana kwa kuimarisha afya na

๐—ช๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ก๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ฅ๐—˜๐—ง๐—ช๐—˜๐—˜๐—ง ๐—ญ๐—ฒ๐—ป๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ.

Karibu Maasai Herbal Clinic โ€“ Kituo chako cha tiba za asili na afya bora! Tunakuletea dawa za asili zilizotengenezwa kwa kutumia mimea ya kitamaduni na tiba za kiasili za Kimasai zinazojulikana kwa kuimarisha afya na
NTOBI (@ntobi_) 's Twitter Profile Photo

Napokea simu nyingi- zikiuliza kuhusu Martin Maranja Masese Ni kwamba, Martin hajatekwa bado wala kukamatwa ila, Polisi wamekamata simu zake zote (IPhone 15 & Samsung) hivyo zipo mikononi mwa Polisi. Poleni kwa kutopokelewa. Mwenetu ni mzima wa afya. Sept 18, 2024 #NeverNeverAgain

Napokea simu nyingi- zikiuliza kuhusu <a href="/IAMartin_/">Martin Maranja Masese</a>  Ni kwamba, Martin hajatekwa bado wala kukamatwa ila, Polisi wamekamata simu zake zote (IPhone 15 &amp; Samsung) hivyo zipo mikononi mwa Polisi. Poleni kwa kutopokelewa. Mwenetu ni mzima wa afya. Sept 18, 2024 #NeverNeverAgain
Mthesalonike Wa KIANDA (@kiandawa54668) 's Twitter Profile Photo

Mtoto wa Mwenye Nyumba kanichoma Leo(Binti)๐Ÿ˜ญ kakabwa kidogo tu kasema kila kitu tulichowahi kufanya๐Ÿ˜“๐Ÿ™Œ Hapa Nawaza sijui nihame usiku huu huu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™Œ