Omar Kashera (@mjengaomar) 's Twitter Profile
Omar Kashera

@mjengaomar

Diplomat, National Defence College Graduate and Awardee of the Most Prestigous “ndc” Symbol on Security and Strategic Studies, UN International Staff, CEO-CIP.

ID: 513628124

linkhttp://www.cipafrica.org calendar_today03-03-2012 21:34:52

10,10K Tweet

5,5K Followers

3,3K Following

Omar Kashera (@mjengaomar) 's Twitter Profile Photo

Karibuni kwenye Public Lecture on Strategic Leadership Skills. Fomu ya usajili tizama link. Malipo ni laki moja. Ni tarehe 26 April. Ukumbi mtaarifiwa baadae!

Nasaha za Omar "Unapokuwa katiki usaili wa kazi, unatakiwa kuulizwa na kuuliza maswali. Ukiona swali ni gumu kwako, jitahidi kuuliza kwa kudadisi alichomaanisha muuliza swali. Unapomdadisi atakusaidia kujibu swali lake" TAFAKARI SANA!

Nasaha za Omar
"Unapokuwa katiki usaili wa kazi, unatakiwa kuulizwa na kuuliza maswali. Ukiona swali ni gumu kwako, jitahidi kuuliza kwa kudadisi alichomaanisha muuliza swali. Unapomdadisi atakusaidia kujibu swali lake"

TAFAKARI SANA!
Omar Kashera (@mjengaomar) 's Twitter Profile Photo

Nasaha za Omar "Unapokuwa kwenye usaili wa kazi, ukiulizwa uelezee unavyoifahamu taasisi unayoomba kazi, kamwe usiseme kuwa SIIFAHAMU VIZURI KAMPUNI yenu. Hicho ni kigezo cha ukosefu wa maarifa ya utafiti" TAFAKARI SANA✍️✍️✍️

Nasaha za Omar
"Unapokuwa kwenye usaili wa kazi, ukiulizwa uelezee unavyoifahamu taasisi unayoomba kazi, kamwe usiseme kuwa SIIFAHAMU VIZURI KAMPUNI yenu. Hicho ni kigezo cha ukosefu wa maarifa ya utafiti"

TAFAKARI SANA✍️✍️✍️
Omar Kashera (@mjengaomar) 's Twitter Profile Photo

Nasaha za Omar "Kila jicho la mwanadamu limeumbiwa kutizama na kupenda kile ilichoumbiwa kutizama na Kupenda. Ulichokipenda ndio kivutio cha macho yako" TAFAKARI SANA!

Nasaha za Omar
"Kila jicho la mwanadamu limeumbiwa kutizama na kupenda kile ilichoumbiwa kutizama na Kupenda. Ulichokipenda ndio kivutio cha macho yako"

TAFAKARI SANA!
Omar Kashera (@mjengaomar) 's Twitter Profile Photo

#DIPLOMASIA: Marekani chini ya utawala wa Rais Donald J. Trump imepanga kufunga Balozi na Balozi ndogo karibia 30. 60% ya Balozi hizo zipo Bara la Afrika ikiwamo ule wa Afrika Kusini. Upatikanaji wa Visa ya Marekani sasa kuwa mgumu sana. Je, Afrika tunajifunza nini na hilo?✍️✍️

In Nov last year, when Trump Donald J. Trump won his bounced 2nd term, signs of the End of Globalization started to appear. Localization took stage and it is now official that globalization came to an end on 2nd April 2025 with the impossed tariffs. Africa this is an opportunity

Omar Kashera (@mjengaomar) 's Twitter Profile Photo

#DRC: Rais wa zamani wa Kongo Joseph Kabila Kabange ameingia rasmi mji wa Goma, ambao uko chini ya M23/AFC. Mtakumbuka niliwahi kuandika kuwa Kabila, Katumba na Kamele ni watu wa kuwafuatilia kwa karibu sana. Kufika kwa Kabila Goma kuna ujumbe mzito kwa Félix A. Tshisekedi na Uongozi wa Kinshasa

Nasaha za Omar "Ndani ya mioyo ya binadamu tunapanga mipango mingi, ila Mwenyezi Mungu uitizama na kuizuia au kuiruhusu ifanikiwe. Mwenyezi Mungu atazuia mipango yako yote yenye shari na wewe hata kama unaiona ni mizuri. Mpango wa Mungu ndio MPANGO SAHIHI" TAFAKATI SANA!

Nasaha za Omar
"Ndani ya mioyo ya binadamu tunapanga mipango mingi, ila Mwenyezi Mungu uitizama na kuizuia au kuiruhusu ifanikiwe. Mwenyezi Mungu atazuia mipango yako yote yenye shari na wewe hata kama unaiona ni mizuri. Mpango wa Mungu ndio MPANGO SAHIHI"

TAFAKATI SANA!
Omar Kashera (@mjengaomar) 's Twitter Profile Photo

Taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali 2023/24 Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu Zanzibar inasema kuwa Serikali ina TZS 10Trillion zilizokwama kwenye kesi 1,186 ktk mahakama za TRAT & TRAB. Kama kesi hizi hazitasikilizwa na kuamuliwa mapema, huenda zikaathiri utekelezaji wa Bajetu Kuu ya Serikali.

Leo saa nne usiku, nitahojiwa na shirika la habari la Uingereza, BBC BBC News (World) BBC News Swahili kuhusu yanayoendelea huko DRC na kurejea kwa Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila Kabange baada ya kukaa uhamishoni kwa miaka sita. Je, ni nini matarajio ya Kabila? Kurejea madarakani? Fuatilia✍️