Reenrose ๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž(@miss_queen15) 's Twitter Profileg
Reenrose ๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž

@miss_queen15

TAURUS โ™‰๏ธ. Arsenal for lifetime.. Simba for life๐Ÿ”ดโšช๏ธ..

ID:1478864793725452290

calendar_today05-01-2022 23:03:50

21,9K Tweets

10,1K Followers

687 Following

BiDi๐Ÿค(@Raphaeligp) 's Twitter Profile Photo

Kama mnachati muda mrefu kwa siku mpo hatarini kupoteza penzi lenu.

Mara nyingi mmoja kati yenu huwa anajenga mahusiano kwa nguvu sana ili akuaminishe kuwa anakupenda apate alicho kifwata.๐Ÿ™‹

account_circle
MZUNGU PORI๐Ÿ’ช(@Mzungu_pori1) 's Twitter Profile Photo

Huwa unazigatia jambo gani wakati unachagua internet nzuri?!

-Unafuu wa gharama?
-Bando toshelevu?
-Kasi yenye uhakika?
-Kifaa unachoweza kutumia popote?

Router ya airtel 5G ni jibu la maswali yako yote.. Kasi, unafuu, bando endelevu, etc.

Kifaa cha WiFi unapewa BURE ukilipiaโ€ฆ

Huwa unazigatia jambo gani wakati unachagua internet nzuri?! -Unafuu wa gharama? -Bando toshelevu? -Kasi yenye uhakika? -Kifaa unachoweza kutumia popote? Router ya airtel 5G ni jibu la maswali yako yote.. Kasi, unafuu, bando endelevu, etc. Kifaa cha WiFi unapewa BURE ukilipiaโ€ฆ
account_circle
Tell me her name ๐Ÿ’ซ๐Ÿค(@Angelelsie8) 's Twitter Profile Photo

Mungu akupe neema ya kusimama katika nyakati ngumu pamoja na kuyashinda yale yote magumu unayopitia..๐Ÿ™
Good morning God's people โ™ฅ๏ธ

account_circle
MADOPE๐ŸŒพ(@Ugeniaconso) 's Twitter Profile Photo

Sasa huyo ni mpenzi wako au mpenzi wa msimu ona hujatafutwa mpaka muda huu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

account_circle
NASRI(@NasriAllyy) 's Twitter Profile Photo

Hivi ukiondoa pesa , kuna zawadi yoyote ambayo unaweza mpa mwanamke yoyote na asikatae??

Huyu hatujazoeana sana, hata sijui vizuri vitu gani hapendi na anavyopenda.๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

Hivi ukiondoa pesa , kuna zawadi yoyote ambayo unaweza mpa mwanamke yoyote na asikatae?? Huyu hatujazoeana sana, hata sijui vizuri vitu gani hapendi na anavyopenda.๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
account_circle