Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile
Mike

@mike_ifx

#TRADER
@IntelligenceFX

ID: 1468126567796727808

linkhttps://intelligenceforex.com/ calendar_today07-12-2021 07:53:55

2,2K Tweet

6,6K Followers

24 Following

Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile Photo

Dunia ya leo haiko kwenye syllabus. Ukiweza kujifunza, ku-adapt, na kutengeneza solution, wewe ndiye unahitajika. Sio lazima uwe darasani ili uwe na akili. Smart people build paths, not only follow them.👷‍♂️

Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile Photo

Being broke is not just about not having money. It’s about not seeing options. Not seeing a way out. Not being able to think clearly. The decision of not being broke starts in the mindset.

Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile Photo

System haikubali creative minds. Inataka utulie, ufuate ratiba, upokee mshahara. But that doesn’t work for everyone. Wengine wana akili za kujenga vitu vikubwa kuliko job descriptions. Don’t apologize for that. Find your lane and dominate it.

Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile Photo

Hakuna shortcut ya kweli.🫵 Kama unakimbilia forex bila kuelewa basics, crypto bila kusoma risk, au biashara bila hesabu, utapotea. Usikimbilie pesa, kimbilia maarifa. Maisha yanampa yule anayejiandaa, si anayetaka tu.

Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile Photo

Umaskini si tu kutokuwa na hela. >Ni kukosa tumaini. >Ni kuamka ukiwa huna pa kuanzia. >Ni kuona maisha yanakukimbia huku wewe bado uko darasani kujifunza kuvuka barabara. Inabidi tubadilike kabla hatujamezwa na mfumo.

Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile Photo

Huwezi kupata uhuru wa kifedha kwa akili zile zile zilizokufikisha hapo ulipo. Mindset inahitaji kubadilika kabla ya balance kubadilika. Mabadiliko ya nje huanza ndani. Ukibadilika kifikra, fedha utaanza kuiona.

Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile Photo

Ukitaka maisha ya kawaida, fuata njia walizoweka. Ukitaka maisha ya kipekee, vunja baadhi ya sheria zilizowekwa. System inatufundisha vitu vingi vya kufuata, lakini haitufundishi namna ya kuunda njia yetu. Wale waliotengeneza njia zao, leo wanatajwa kama ‘genius’.

Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile Photo

Kuna pesa inaonekana ya kihalali, lakini ni utumwa wa maisha. Sio kazi zote ni ‘safe’. Kuna kazi nzuri sana, lakini inakula muda wako, nguvu zako na ndoto zako. Jifunze kutafuta pesa ambayo haiui vision yako.

Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile Photo

Kujitafuta ni kama kuchimba kisima. Unachimba halafu unachimba tena. Wengine wanacheka, wengine wanakuacha. Lakini maji yakitoka, wote wanarudi. Usiogope kuonekana kama umechanganyikiwa. Ni kawaida ukianza kitu mpya. Ukianza kusaka ndoto yako, wengi wataku-question.✊️

Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile Photo

Ukitaka pesa ya kweli, jiandae kubadilika zaidi ya mara moja. Kile unachokipenda leo, kinaweza kisikupe chakula kesho. •Jifunze kuswitch. •Jifunze kusurvive. •Jifunze ku-evolve. Kamwe usiache kujifunza.👊

Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile Photo

Mtoto wa maskini ana option mbili: 'kulalamika au kupambana.' Na hakuna anayemhurumia atakaposhindwa. Vita ya mtaa haina fair rules, lakini unaweza ku-exit. Ili u-exit ni kuamka mapema kuliko wengine (kuona fursa kabla ya wengine ni kuamka mapema pia)

Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile Photo

Mara nyingi, watu hawakucheki kwa sababu huna hela, wanakucheka kwa sababu hujaanza kuwa hatari bado. Usikate tamaa. Mara ukianza kuwa serious na game yako, watu watabadilika wenyewe.

Mike (@mike_ifx) 's Twitter Profile Photo

Ukiendelea kuwa mtu wa kila kitu kwa wakati wake, Usishangae muda ukakupita ukiwa na mikono mitupu. Sababu kubwa ya kusota ni excuses za 'kusubiri wakati sahihi.' Fanya sahihi huu wakati uliopo.

#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

Je, masoko ya fedha mtandaoni yanaweza kukutoa kimaisha? Mshauri na mtaalam wa fedha MIKE atatoa elimu jinsi ya kuingia, kuwekeza na namna ya kunufaika. Usikose kufuatilia #ElimikaWikiendi Spaces Jumamosi hii.

Je, masoko ya fedha mtandaoni yanaweza kukutoa kimaisha?

Mshauri na mtaalam wa fedha <a href="/Mike_Dastan/">MIKE</a> atatoa elimu jinsi ya kuingia, kuwekeza na namna ya kunufaika.

Usikose kufuatilia #ElimikaWikiendi Spaces Jumamosi hii.
#ElimikaWikiendi (@elimikawikiendi) 's Twitter Profile Photo

“Fursa zipo nyingi zinatuzunguka lakini vijana tunazipuuzia na umri unaenda ni lazima sasa tubadilike tuache kulaumu tuwe suluhu ya changamoto zetu.” MIKE alipozungumza kwenye #ElimikaWikiendi

“Fursa zipo nyingi zinatuzunguka lakini vijana tunazipuuzia na umri unaenda ni lazima sasa tubadilike tuache kulaumu tuwe suluhu ya changamoto zetu.”

<a href="/Mike_Dastan/">MIKE</a> alipozungumza kwenye #ElimikaWikiendi