NaNaLee_Tz๐Ÿฅ€(๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท)๋‚ธ์‹œโ™‰๏ธ (@mijulee_tz) 's Twitter Profile
NaNaLee_Tz๐Ÿฅ€(๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท)๋‚ธ์‹œโ™‰๏ธ

@mijulee_tz

Accountant by Pro||FINANCIAL ADVISOR||Sales Expert||INTROVERT||Entrepreneur|| @Chelseafc @YoungAfricansSC|| #KPopFan||TAURUSโ™‰๏ธ ||5โ€™1 feet 6.142

ID: 1098886021821972480

calendar_today22-02-2019 10:03:38

160,160K Tweet

54,54K Followers

903 Following

Sarafina (@finah_business) 's Twitter Profile Photo

ZAWADI YA BIRTHDAY FROM MY SIS bint stara @ummu Salamah ๐Ÿ˜‹๐Ÿ™ Appetizer naona itaisha kabla ya wiki๐Ÿคฃ TSH 5000 TU ๐Ÿ“Uhuru& likoma mwanzoni kabisa 0712752574 Asante sana dada๐Ÿ˜˜

ZAWADI YA BIRTHDAY FROM MY SIS <a href="/BintStara/">bint stara @ummu Salamah</a> ๐Ÿ˜‹๐Ÿ™

Appetizer naona itaisha kabla ya wiki๐Ÿคฃ

TSH 5000  TU

๐Ÿ“Uhuru&amp; likoma mwanzoni kabisa 

0712752574

Asante sana dada๐Ÿ˜˜
Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

๐—ช๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—ณ๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜‡๐—ถ๐—ด๐—ผ ๐˜†๐—ฎ๐—ผ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ด๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐˜‚ ๐—ต๐—ถ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฒ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ. #TanzaniaYaSamia

Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Mwalimu Yusuph Ibrahim (Yufresh) wa Shule ya Msingi Kisuma, Kasulu alimuomba Rais Samia msaada wa mguu wa bandia na usafiri ili aweze kufanya kazi kwa ufanisi. Rais Samia aliguswa na kumsaidia mara moja. #MamaAnafanikisha #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi.

m.s.a.k.i๏ผ‹ (@raphyrodrick) 's Twitter Profile Photo

Kama mwanaume mtanashati hakikisha haukosi hata suti moja kaki ya matukio mbali mbali. Karibu suit_mseleleko kwa 180,000 tu unapata ready made suits kwa size zote. Hili ni Chimbo la suti kali, original na accessories zote muhimu za suti!. >Three pieces(koti, suruali na

Kama mwanaume mtanashati hakikisha haukosi hata suti moja kaki ya matukio mbali mbali. Karibu  <a href="/suitmseleleko/">suit_mseleleko</a> kwa 180,000  tu unapata ready made suits kwa size zote. Hili ni Chimbo la suti kali, original na accessories zote muhimu za suti!.

&gt;Three pieces(koti, suruali na
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Recho Onesmo ana ndoto ya kuwa daktari. Mama amejenga shule karibu na anapoishi. Recho anaiona kuwa ni daraja la kufikia ndoto yake. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

๐—œ๐—Ÿ๐—”๐—ก๐—œ ๐—œ๐— ๐—˜๐—ง๐—˜๐—ž๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ญ๐—ช๐—”, ๐—ฉ๐—œ๐—๐—œ๐—๐—œ ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—˜ ๐—ก๐—–๐—›๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ฉ๐—œ๐—ก๐—”๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐—จ๐— ๐—˜๐— ๐—˜. #TanzaniaYaSamia #KaziNaUtuTunasongambele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

๐—œ๐—Ÿ๐—”๐—ก๐—œ ๐—œ๐— ๐—˜๐—ง๐—˜๐—ž๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—ญ๐—ช๐—”, ๐—ฉ๐—œ๐—๐—œ๐—๐—œ ๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—˜ ๐—ก๐—–๐—›๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ฉ๐—œ๐—ก๐—”๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐—จ๐— ๐—˜๐— ๐—˜.

#TanzaniaYaSamia
#KaziNaUtuTunasongambele

Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Boresha Biashara, Boresha Maisha Mkopo sahihi unaweza kuwa chachu ya mafanikio makubwa. Unataka kuongeza bidhaa Soft Finance iko kwa ajili yako kwa masharti nafuu, riba rafiki na utoaji wa haraka bila usumbufu. Usikose nafasi hii ya kuboresha biashara yako na maisha yako pia.

Boresha Biashara, Boresha Maisha
Mkopo sahihi unaweza kuwa chachu ya mafanikio makubwa.
Unataka kuongeza bidhaa
<a href="/softfinancetz/">Soft Finance</a> iko kwa ajili yako kwa masharti nafuu, riba rafiki na utoaji wa haraka bila usumbufu.
Usikose nafasi hii ya kuboresha biashara yako na maisha yako pia.
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

MAMA anajenga uchumi wa viwanda wenye manufaa kwa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

๐—›๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฎ ๐—บ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ฟ๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—บ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ. #TanzaniaYaSamia #KaziNaUtuTunasongambele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi

๐—›๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฎ ๐—บ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ฟ๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—บ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ.

#TanzaniaYaSamia
#KaziNaUtuTunasongambele

Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐€๐’๐€๐๐“๐„ ๐Œ๐€๐Œ๐€ Umeongeza vituo vya kujazia gesi. Umeongeza kipato kwa madereva. Umepunguza gharama za usafiri. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Mama Anafanikisha (@mamanafanikisha) 's Twitter Profile Photo

Serikali imekamilisha matengenezo ya barabara ya Mlowoโ€“Mpitoโ€“Isansa (Km 13.4) kwa kiwango cha changarawe, wilayani Mbozi. Barabara hiyo imerahisisha usafiri kwa wakulima wa vijiji vya Wetele, Isansa, Makua na Iwezi. #MamaAnafanikisha #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja.

Serikali imekamilisha matengenezo ya barabara ya Mlowoโ€“Mpitoโ€“Isansa (Km 13.4) kwa kiwango cha changarawe, wilayani Mbozi. 

Barabara hiyo imerahisisha usafiri kwa wakulima wa vijiji vya Wetele, Isansa, Makua na Iwezi.

#MamaAnafanikisha 
#KaziNaUtuTunasongaMbele 
Taifa Moja.
Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

-๐—จ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ: ๐— ๐—ถ๐˜๐—ฎ ๐Ÿญ๐Ÿฌ๐Ÿฑ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐˜๐—ฎ ๐Ÿฒ๐Ÿด - ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ: ๐—ช๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐Ÿฏ๐Ÿฌ,๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ -๐—จ๐—ท๐—ฒ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐—ผ๐—ณ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ: ๐Ÿฐ๐Ÿฎ% (๐—๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐Ÿญ, ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ) #TanzaniaYaSamia #KaziNaUtuTunasongambele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

-๐—จ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ: ๐— ๐—ถ๐˜๐—ฎ ๐Ÿญ๐Ÿฌ๐Ÿฑ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐˜๐—ฎ ๐Ÿฒ๐Ÿด
- ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ: ๐—ช๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐Ÿฏ๐Ÿฌ,๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ 
-๐—จ๐—ท๐—ฒ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐—ผ๐—ณ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ: ๐Ÿฐ๐Ÿฎ% (๐—๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐Ÿญ, ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ)

#TanzaniaYaSamia
#KaziNaUtuTunasongambele

Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

MAMA ameongeza vituo vya afya vyenye uwezo wa kufanya upasuaji wa dharura kwa wajawazito; Machi 2021: Vituo 388 Machi 2025: Vituo 577 Anatekeleza ahadi ya kupunguza vifo vya mama na mtoto. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

MAMA ameongeza vituo vya afya vyenye uwezo wa kufanya upasuaji wa dharura kwa wajawazito;

Machi 2021: Vituo 388

Machi 2025: Vituo 577

Anatekeleza ahadi ya kupunguza vifo vya mama na mtoto. 

#MamaYukoKazini
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.