Michael Baruti (@michaelbaruti) 's Twitter Profile
Michael Baruti

@michaelbaruti

Journalist | Creative | Ubongoer | Yanga | Manchester United | Mental Health | Host of #MenMenMenThePodcast | Mandela Washington Fellow | #DrexelDragon

ID: 63783047

linkhttps://linktr.ee/menthepodcast calendar_today07-08-2009 17:39:06

88,88K Tweet

120,120K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Men.Men.Men - The Podcast (@menthepodcast) 's Twitter Profile Photo

Miaka 5, episodes 100 za #MenthePodcast Tukiwa wawili na maikrofoni, @nadiaahmedtz na @michaelbaruti tulianza safari ya mazungumzo ya kweli kuhusu afya ya akili ya wanaume. Leo, tunatafakari mwanzo, changamoto, na kiu yetu isiyokoma ya mabadiliko. Je, bado tunaamini? Jibu ni NDIO

"Nafsi Yangu Ina Amani" ft. Sunday Kapesi (Ep 94) bado ni moja ya episode zinazogusa nafsi kwa undani. Leo tunasherehekea episode ya 100. Asanteni kwa safari hii. gusa link ya kutazama/sikiliza linktr.ee/menthepodcast?…

Michael Baruti (@michaelbaruti) 's Twitter Profile Photo

I almost tweeted about giving props to Dr Gwajima na how she engages na watu humu ndani, then nikakumbuka how COVID was dealt with and lives that were lost sababu ya negligence…..

Michael Baruti (@michaelbaruti) 's Twitter Profile Photo

Ni ngumu sana kuongelea sheria kwenye hili wakati watunga sheria ni chama kimoja, na wanatumia mamlaka walizonazo kusimamia walichotunga….

Men.Men.Men - The Podcast (@menthepodcast) 's Twitter Profile Photo

Michael Baruti anazungumzia umuhimu wa kuwa na watu wanaosherehekea mafanikio yako. #menthepodcast #mentalhealthminute #kujifunza #afyayakili #growthmindset #selflove #nadiaahmedtz #menandmentalhealth