-MGUNDA JR (@mgundajunior) 's Twitter Profile
-MGUNDA JR

@mgundajunior

Young africa sports club ๐Ÿ”ฐ๐Ÿ”ฐand Liverpool sports club ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡งUtani wa soka

ID: 1319154193295462401

calendar_today22-10-2020 05:51:00

617 Tweet

919 Followers

2,2K Following

-MGUNDA JR (@mgundajunior) 's Twitter Profile Photo

Ee Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kusamehe, tunakushukuru kwa kutupa uhai na afya ya kushuhudia siku hii tukufu ya Ijumaa. Tunakuomba utusamehe makosa yetu, utuongoze katika njia iliyonyooka, na utujalie moyo wa uvumilivu na upendo kwa kila mmoja wetu.

-MGUNDA JR (@mgundajunior) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ๐Ÿ“‰ Manchester Cityโ€™s last 13 gamesโ€ฆ โŒ 2-1 loss to Tottenham โŒ 2-1 loss to Bournemouth โŒ 4-1 loss to Sporting โŒ 2-1 loss to Brighton โŒ 4-0 loss to Spurs โš–๏ธ 3-3 draw to Feyenoord โŒ 2-0 loss to Liverpool โœ… 3-0 win vs Nottingham Forest โš–๏ธ 2-2 draw vs Crystal Palace

-MGUNDA JR (@mgundajunior) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ OFFICIAL: Kikosi cha SIMBA kinachoanza dhidi ya Singida . ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ Camara ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kapombe ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Hussein ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Hamza ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ Che Malone ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kagoma ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Ngoma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kibu D ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Ahoua ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Mpanzu ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Mukwala . WANASIMBA hapo vipi โ€ฆ!!๐Ÿ‘‡

-MGUNDA JR (@mgundajunior) 's Twitter Profile Photo

๐†๐”๐’๐€ ๐€๐‚๐‡๐ˆ๐€ ๐“๐–๐„๐๐ƒ๐„ ๐Š๐–๐€๐Ž Tiketi za mchezo wa TP Mazembe zimeshaanza kuuzwa VIP A - 30,000 VIP B - 20,000 VIP C - 10,000 MZUNGUKO - 5,000 Hakuna muda wa kupoteza! Hii ni DO & DIE Kwetu Wanayanga. Kata Tiketi yako Mwananchi [ Kwa njia ya Simu/ Kwenye vituo],

-MGUNDA JR (@mgundajunior) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu

-MGUNDA JR (@mgundajunior) 's Twitter Profile Photo

โ€œMwenyekiti wetu [Freeman Mbowe] alipochukua hiki chama [CHADEMA] kilikuwa na wabunge watano, amekipeleka mpaka kikawa chama kikuu cha upinzani, amekipeleka kikaunda kambi rasmi ya upinzani bungeni aliyoiongoza kwa miaka 10, amekifanya kuwa chama kikubwa kuliko pengine CCM.โ€ โ€“